Kinana anahusika na kampuni ya Six Telecoms inayoendeshwa na Rashid Shamte

hivi udsm huwa mnapikiwa maana mim najua samaki waligawiwa bure kwenye zile taasis zinazotoa huduma ya chakula kwa wanafunzi wao kama muhimbili diploma
Zile Cafteria zinazotoa huduma ya chakula ndizo zilizopatiwa hao samaki,nakumbuka siku hiyo wali samaki was 800/=
 
Kwa suala.la.six telecomms serikali ina bidi wawatunuku zawadi hawa jamaa kwa Sababu.kuu sifuatazo
1. Hawa jamaa wameonesha ubovu wa taratibu za uratibu wa mawasiliano hapa nchi. Hawa jamaa wameweza kukwepa kulipa ushuru kwa miaka 5 bila kukamatwa.
2. Kupitia kwa hawa jamaa serikali imeumbuliwa kuwa watendaji wa TRCA hawafai kwani mtu atawezaje kutolipa tozo lake kwa miaka mitano bila kubainika na watu wanaingia kazini kila siku?
3. Wale wote walio kwenda kumkamata kutoka TRCA kwanini wao mpaka leo.bado kazini? Wanatakiwa na wao watumbuliwe maana hawakufanya kazi yao waliyokuwa wameajiriwa kuifanya
 
Miaka hii miwili ya mwanzo ya Mh. JPM tutashuhudia vituko vya wizi kwa taifa ambavyo havijawahi tokea popote duniani. Nyie si mlishangaa watu kubeba pesa kwenye viroba na mpaka leo hakuna aliyeadhibiwa, mkaona kontena la meno ya tembo na idadi ya tembo wetu kuisha kutoka 109,000 mwaka 2009 mpaka kufikia tembo 51,000 mwaka 2015 na mpaka leo mitandao ya majangili hao haijakamatwa na meli nzima kuibiwa mzigo, ya kustaabisha bado yanakuja..
 
So yataendelea yaleyale?
 
Mkuu katika miaka 10 yapo mazuri mengi alioyafanya,na yapo aliovurunda,lakini kwa undani wa jambo,Raisi Kikwete aliwapa uhuru wa kufanya kazi bila kusukumwa sukumwa akiamini kuwa watu watatumia ujuzi wao kwa manufaa ya umma,kumbe sisi wananchi tunatakiwa kusukumwa tena kwa bakora.Tujipime kwanza sisi utendaji wetu kama umetukuka,tuna matatizo ya kukiuka maadili ya kazi,na mara nyingi baadhi ya watendaji wakuu hugeuka vinyonga ni dalili ya unafiki mamboleo.

hakuna hata moja ziri alilofanya,kama alijua watu wanatakiwa kusukumwa si ni wajibu wake kuwasukuma!!!huyu dili zilikuwa nyingi au ni dhaifu na kama alijua ni mdhaifu kwanini atake madaraka makubwa asoweza kuyasimamia?
 
Kwa suala.la.six telecomms serikali ina bidi wawatunuku zawadi hawa jamaa kwa Sababu.kuu sifuatazo
1. Hawa jamaa wameonesha ubovu wa taratibu za uratibu wa mawasiliano hapa nchi. Hawa jamaa wameweza kukwepa kulipa ushuru kwa miaka 5 bila kukamatwa.
2. Kupitia kwa hawa jamaa serikali imeumbuliwa kuwa watendaji wa TRCA hawafai kwani mtu atawezaje kutolipa tozo lake kwa miaka mitano bila kubainika na watu wanaingia kazini kila siku?
3. Wale wote walio kwenda kumkamata kutoka TRCA kwanini wao mpaka leo.bado kazini? Wanatakiwa na wao watumbuliwe maana hawakufanya kazi yao waliyokuwa wameajiriwa kuifanya
Kama sijakosea ulikua unamaanisha TCRA mkuu!
 
Hili liko wazi baadhi ya wahusika wakuu wa makampuni ya Six telecoms,Push Mobile na Wia wote wako jengo moja ambao ni Mzee Kinana na Peter Noni.

Fuatilieni brela na TCRA and connect the dots..
Majungu SIYO mtaji, na kuandika habari usiyojua kama vile ulikuwa UNAOTA haina maana. Tafiti kisha andika ukiwa na ushahidi hatutaki NDOTO.
 
Ndo shida ipo hapo,watu wakitajwa wanachafuliwa,data zikija kupatikana siasa za maji taka,hata ukwepaj kodi wa makampuni kuna wapuuuuzi wanatetea pia,kwani huyo mzee yeye nani asihusike??mara kadhaa reports za mambo ya Ivory zimemtaja tena vyombo vya nje

Hebu tusaidie chombo gani cha njee kilichomhusisha. Tuache mambo yasio na ukweli.
 
Wakati mwingine ni vyema kujiridhisha na taarifa yeyote kabla ya kuanza kuchafua watu na kuwahusisha na yale ambayo tunafahamu kuwa yatachafua image yao kwenye jamii na kuonyesha kuwa ni watu wa hovyo na wasiofaa kwenye jamii.

Six Telecom haikuwahi kuwa na sio Kampuni inayomilikiwa na Mzee Kinana ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi na wala hana share wala hausiki kwa lolote katika uendeshaji wake.

Ni vyema wakati mwingine mkajiridhisha na jambo kabla ya kuropoka
Hata mimi nimeshangaa sana; hanatumuka huyu mwenzetu kisasa kumchafua KINANA kwani alikuwa kikwazo kwao

kinana hana kificho baada ya kuachana na serkali kabla ya kuteuliwa aliaanza WIA kuwa Chairman
WIA Group | WiA Group Limited
sio six telecom.
kinana ni Chairman sheria inasema ukianzisha taasisi kubwa lazima Chairman awe mbongo ;
TUMEONA KWENYE MABENKI
 
Mkuu katika miaka 10 yapo mazuri mengi alioyafanya,na yapo aliovurunda,lakini kwa undani wa jambo,Raisi Kikwete aliwapa uhuru wa kufanya kazi bila kusukumwa sukumwa akiamini kuwa watu watatumia ujuzi wao kwa manufaa ya umma,kumbe sisi wananchi tunatakiwa kusukumwa tena kwa bakora.Tujipime kwanza sisi utendaji wetu kama umetukuka,tuna matatizo ya kukiuka maadili ya kazi,na mara nyingi baadhi ya watendaji wakuu hugeuka vinyonga ni dalili ya unafiki mamboleo.

Kama kweli Kikwete angekuwa rais makini ujinga huu aliouleta usinge fikia hapa. We mtu gani kila kukicha unajifunza kurusha ndege bila mafaniko yeyote tena kwa miaka 10. This man was useless.
 
Back
Top Bottom