Feld Marshal Tantawi
JF-Expert Member
- Dec 24, 2014
- 609
- 1,009
Ndugu zangu watz wenzangu nadhan mtakuwa nami juu ya kinachoendelea kwa sasa katika nchi yetu
Wafanyabiashara saiz wanajiamulia bei gan watupige na kila siku wanapandisha bei hasa wakijisikia kitu ambacho ni hatar sn kwa usalama wa nchi
Kibaya zaid pamoja na bei za vitu kupanda kila siku yan ni kama hatuna viongoz yan ni kama nchi inajiendesha yenyewe.....Rais yupo,wazir mkuu yupo,mawazir wapo lkn masikin ya Mungu hakuna hata mmoja mmoja anaeumia na kuumizwa kwa wananchi hawa watz ndio kwanza kila mtu yuko bize kuangalia anavunaje sehem aliyopo.
Hali hio sasa imetoka kwenye chakula imeenda had kwenye mawasiliano ya simu yan saiz wanajibadilishia tu vifurushi kila wanapojisikia. yaani kwa kweli hali ni mbaya sn tena sn na masikin ya Mungu watz hawa hatujui hata haki zetu tunasubir wakina CHADEMA au NCCR ndio watusemee bila wao kufanya hivo kila mtu yuko kimya hadi vile vyama vyetu vya kiraia ambavyo sijui viko wapi siku hizi.
Hebu imagine unakwenda sokon lkn unakuta kila mtu anauza vitu kwa bei yake na wala hata hawana wasiwas wao wanasema wanafidia kipind kigum cha mwendazake.
Hiv kweli Tanzania tumefikia huku kweli jaman,mbona inasikitisha sn jaman. Huyu mwananchi wa kawaida kabisa anaishije kwa hali hii?
Nadhan sasa umefika wakati wa wanachi wa Tanzania kuleta umoja wetu na kureact bila kujali utofaut wa vyama vyetu,dini zetu wala ukanda wetu na kuacha kutegema vyama vya siasa kutusemea katika matatizo yetu.
Serikal imeshindwa mapema sn katika hili la mfumuko wa bei hivo ni wakati wetu sisi wananchi kuondoa tofauti na kuwa kitu kimoja katika hali hii mbaya kabisa katika ustawi wa taifa na maendeleo ya wananchi
Naomba kuwasilisha