Elections 2010 Kinachoendelea Jimbo la Segerea...

Status
Not open for further replies.
Weka data tafadhali. Taarifa hizi bila data zinarusha roho tu!!!!
 
Well, una maana Zanzibar sio Tanzania? au una maana iliyokuwa Tanganyika ndio Tanzania? All in all wanasegerea amameonesha nini Pumba na nini si Pumba. I wonder Kiyabo wa CCJ ambaye sasa yuko CCM anafanya nini? yeye hata kugombea hakugombea.

Wewe hujui kuwa Wazanzibari wana haki na fursa ya kugombea Tanganyika lakini Watanganyika hawana haki wala fursa ya kugombea Zanzibar? Hayo ndiyo mambo ya huu muungano kilema tulio nao.
 
This is all romour. Tunataka data sio mambo ya fulani kashinda kumbe matokeo rasmi bado. Jana tuliambiwa Nchimbi kashwandwa kumbe wapi!!
 
inapendeza kwakweli kuona kuna mabadiliko, naimani na kikwete, na napenda maendeleo , Peoples Power inaonekana, mimi ni kada wa ccm ila inapotokea kuna pahala panahitajika mabadiliko ni vema ikawa ivyo, Hongereni wabunge wote wa Chadema, sipati picha Bunge letu la safari hii litakuwaje,, Keep up guys and mpiganie haki za nchi yetu tupo nyuma yenu
 
UONGO HATUTAKI TUNATAKA DATA KAMILI,HAWA CHAMA CHA MAFISADI NDIO CHANZO CHA UVUMI HUU.

Tunaomba data kamili ili tushangilie vizuri.
 
:doh::doh::doh::doh::doh::doh::doh::doh::doh::doh::doh::doh::doh::doh:
:doh::doh::doh::doh::doh::doh:
 
Muda mfupi nimezungumza kwa njia ya simu na mmoja wa wasimamizi wa uchaguzi jimbo la Segerea ambaye pia ni Afisa Mtendaji wa kata moja wapo katika jimbo hilo.

Iko hivi:

  • Majumuisho ya kura zote kutoka vituoni yanaonesha Mh. Mpendazoe anaongoza.

  • Kila wakala wa chama, baada ya majumuisho anapewa nakala ya idadi ya kura kwa kila kituo. hili ni agizo la waangalizi wa kimataifa(wadhungu) ambako Bwana Mkubwa JK huenda kufanya umatonya.
Maana yake nini?
Matokeo yaliyojumuishwa na mawakala na wasimamizi hayawezi kuchezewa. Hata yakichezewa, nakala za matokeo ni vithibitisho tosha (hata mahakamani) kinachoweza kuwa matokeo yamechakachuliwa.

Kwa hiyo wana-jamvi. Tulieni. Sauti ya umma imesikika Segerea.
 
Mpaka sasa tunaongoza kata tano na tumepata madiwani wawili, Segerea na Kimanga, CUF wamepata buguruni na vingunguti, Mahanga kapata madiwani watatu lkn ubunge ameongoza kinyerezi tu tena kwa kura 200 tu.

Peoplessssssss
 
Matokeo ya Segerea bado wanaendelea kuhesabu na kuingiza kura kwenye system yao ya kizushi ila Mpendazoe anaongoza kura za ubunge.
 
Thanx MySis,
Kwani Jimbo la Segerea lina Kata ngapi? Tunaongoza kwa KURA ngapi?
 
Mpaka sasa tunaongoza kata tano na tumepata madiwani wawili,segerea na kimanga,cuf wamepata buguruni na vingunguti,mahanga kapata madiwani watatu lkn ubunge ameongoza kinyerezi tu tena kwa kura 200 tu.
Peoplessssssss
Yaani siku zote mlikuwa bado hamjahesabu?
Au ni marudio haya?
 
Mpaka sasa tunaongoza kata tano na tumepata madiwani wawili,segerea na kimanga,cuf wamepata buguruni na vingunguti,mahanga kapata madiwani watatu lkn ubunge ameongoza kinyerezi tu tena kwa kura 200 tu.
Peoplessssssss

Hata mimi nina taarifa kutoka reliable source. Mpemdazoe ndiyo mbunge wetu Segerea
 
Muda mfupi nimezungumza kwa njia ya simu na mmoja wa wasimamizi wa uchaguzi jimbo la Segerea ambaye pia ni Afisa Mtendaji wa kata moja wapo katika jimbo hilo.

Iko hivi:

  • Majumuisho ya kura zote kutoka vituoni yanaonesha Mh. Mpendazoe anaongoza.
  • Kila wakala wa chama, baada ya majumuisho anapewa nakala ya idadi ya kura kwa kila kituo. hili ni agizo la waangalizi wa kimataifa(wadhungu) ambako Bwana Mkubwa JK huenda kufanya umatonya.
Maana yake nini?
Matokeo yaliyojumuishwa na mawakala na wasimamizi hayawezi kuchezewa. Hata yakichezewa, nakala za matokeo ni vithibitisho tosha (hata mahakamani) kinachoweza kuwa matokeo yamechakachuliwa.

Kwa hiyo wana-jamvi. Tulieni. Sauti ya umma imesikika Segerea.

Sasa kinachosababisha wasitangaze matokeo ni nini kama kila kitu kinakuwa wazi kwa utaratibu huo???????/
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom