Elections 2010 Kinachoendelea Jimbo la Segerea...

Status
Not open for further replies.
Dada Mashishanga,

Tunaweza kupata updates za kinachoendelea? Maana jimbo lenu limekuwa slow sana kutoa matokeo. Mmewasiliana na kina Mnyika wawafahamishe wametumia njia gani kurahisisha upatikanaji matokeo?
 
Mashishanga naye amesisitiza kuwa, kwa majumuhisho waliokwisha fanya hadi sasa, si kama tu CHADEMA inashinda UBUNGE bali UPINZANI utapata kuongoza Halmashauri
 
Wanafikiri watu watakata tamaa...haondoki mtu na haki yetu!
Kusanyikeni hapo muimbe ngoma za kwenu , wataachilia tu!
 
Sina shaka juu ya hilo ushindi uko wazi kabisa viva chadema mapambano yanaendelea
 
Halafu kuna vijigazeti vingine bana! kuna kigazeti kimoja nilikiona leo asubuhi kinakichwa cha habari eti " Walionuna" na Mpendazoe akiwemo, kumbe matokeo bado aaaa! asante Sis mashishanga keep us updatings, fingers are crossed for Mpendazoe!
 
<p>
Dada Mashishanga,</p>
<p>&nbsp;</p>
<p>Tunaweza kupata updates za kinachoendelea? Maana jimbo lenu limekuwa slow sana kutoa matokeo. Mmewasiliana na kina Mnyika wawafahamishe wametumia njia gani u
ndio namtafuta mnyika ahamishe majeshi hapa ila makongoro mbaya sana nimesikiakatangaza dau.
 
wanafikiri watu watakata tamaa...haondoki mtu na haki yetu!
Kusanyikeni hapo muimbe ngoma za kwenu , wataachilia tu!

kabisa pk hatukati tamaa tunasonga mbele kwa mbele kama vile arusha na mwanza watu wanasimama kidete
 
Weka data tafadhali. Taarifa hizi bila data zinarusha roho tu!!!!

Data za nini wewe???

Sisi ndo wana-Segerea. Na mimi nilimpigia kura Mpendazoe. Hata kidole changu bado kina wino mpaka sasa.

Data gani tena?
 
Ccm mwaka huu wamekiona cha mtema kuni na wamejifunza kuwa dawa ya moto ni moto na si maji
 
jamani mimi bado nalia na Kawe. Kuna juhudi zozote zinafanyika pale?
Kama inawezekana timu ya Ubungo ingehamia pale kuongeza nguvu.
 
jamani mimi bado nalia na Kawe. Kuna juhudi zozote zinafanyika pale?
Kama inawezekana timu ya Ubungo ingehamia pale kuongeza nguvu.

Mkuu Nasikia Kawe ni Mbatia tu anatakiwa kusign Matokeo ili Mdee atangazwe, nasikia Mchuano Ulikwa ni Mdee na Mbatia, so naweza kukuhakikishia kwamba Halima James Mdee atatangazwa Muwakilishi wa wana Kawe Mjengoni! Tuvute Subira
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom