Elections 2010 Kinachoendelea Jimbo la Segerea...

Status
Not open for further replies.
Unajua mahanga yuko kwenye kundi la mafisadi,wanafanya kila njia ili wamuokoe,but umma umeshaongea.hongera mpiganaji mpendazoe,hongera kinara!
 
SEGEREA matokeo vipi? Na huyu Mahanga kachukuliwa hatua gani?
 
mkubwa eeeeh tupo maofisini sahizi kwa hiyo tutaarifiane tu! Hili tukae mkao wa kufanya sherehe vizuri ya ushindi
 
Halima na mnyika nendeni segerea mkashinikize watutangazie mpendazoe,maana ina wauma kumpa mpendazoe maana anajua siri zao
 
kwa kadiri wanavyochelewa kutoa matokeo ya ushindi wa dhahiri wa mpiganaji Tundu Lisu, mambo matatu muhimu wanatuandalia.

1. Wanazidi kujiongezea uchungu, msongo wa mawazo na Fedheha ya kushindwa hata baada ya uchakachuaji
2. Wanamuandalia hoja za mapema, mpiganaji wetu, aanze na kushughulikia kesho za uchaguzi mara tu atakapoingia Bungeni. Ikumbukwe kuwa, Lisu si mbunge wa kuanzishiwa hoja, mi mwanaharakati mahiri wa kuzalisha hoja zenye mashiko, na kuzitetea hata kama atabaki peke yake.
3. Kwa sisi washangiliaji" Tunaandalia furaha kuu zaidi, sababu kuu zaidi ba HAJA kuuuubwa ya kushangilia kwa nguvu, ushindi wa umma.
 
Luteni kuna kosa kubwa linaendelea, kwa nini hamchukui kura za uraisi? tupate data zetu na sio tusubiri za NEC
Usiwe na wasiwasi data zote zipo hata mawakala wana kopi zao stay tuned hujiulizi kwanini husikii tamko lolote, Chadema hawakurupuki wanakusanya data kwanza hata NEC wanalifahamu hilo ndiyo maana wanatangaza kwa kuangalia upepo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom