Kimya kingi kina mshindo mkuu

KIEMBE

Senior Member
Aug 29, 2013
109
11
Daaa! hawa jamaa wa zimamoto sijui wanasubr nini maana toka watu wafanye usaili walisema baada ya mwezi mmoja lakini mhhhhhh! sio mwezi tena huu hichi kimya lazima watu walie tu.
Tujifunze kutimiza ahadi kama umesema mwezi basi toa kulingana na ahadi kuchelewesha ni kutengeneza wasiwasi kwa walio fanya usail.
ASANTE NAOMBA KUWASILISHA.
 
hvi kama watatoa majina na hupo si utatamani kujinyonga
 
Back
Top Bottom