Kimenuka Dodoma, magamba yapata moto

Kama ni kweli basi CCM ndo mara ya kwanza wamefanya maamuzi magumu. Na kwa uhakika hakuna mtu aliweza kuwaza kuwa JK angeweza kufanya hayo. Embu mwenye taarifa atujuiza ilivyokaa au kutokea
 
Tunataka data hapa za uhakika na ikibidi tupate kinachojiri huko sasa maana kutupa kitu halafu unasema utarudi baadae unatupa jakamoyo
Jose! Punguza ukali kdg! Mtu asiende ht chooni? 2ko kibao 2na preasure na hii mineno tn wengine 2ko Mwz mbali na Dom! Sema lbd 2msubirie mlangoni akitoka tu toilet atupe data
 
... STOP.... STOP....!!

Unless someone is hit by Stroke or Heart attack.... you can celebrate ...otherwise ... STOP DREAMING!!
 
Tangia kuisha kwa kikao, Tangia tetesi itufikie, inaonyesha uwezo wa awali wa JF umeshuka sana kuthibitisha habari. JF huwa ina watu kila kona na pembe iweje leo hawapo ndani ya vikao vya CCM. Inawezekana hii habari ina walakini.

Nasubiri ................
 
jamani hali huku ni mbaya mbaya mbaya sana usalama wa taifa uko mashakani yale ya chini ya godoro yanarushwa huku, Mungu ibariki Tanzania kweli kuvua gamba ni sawa na kujifungua (kuzaa) machungu na kuropoka kumbe raisi kwenye kikao cha chama anakuwa mwenyekiti tu hii kiboko
 
kama hii habari ni ya ukweli , tujitayarishe kuona viongozi wengi wa CCM na serikali wakipelekwa India kwenye ila hospitali maarufu ya Apollo...!
 
jamani hali huku ni mbaya mbaya mbaya sana usalama wa taifa uko mashakani yale ya chini ya godoro yanarushwa huku, Mungu ibariki Tanzania kweli kuvua gamba ni sawa na kujifungua (kuzaa) machungu na kuropoka kumbe raisi kwenye kikao cha chama anakuwa mwenyekiti tu hii kiboko

Nani amesalitiwa?
 
  • Thanks
Reactions: Ame
jamani hali huku ni mbaya mbaya mbaya sana usalama wa taifa uko mashakani yale ya chini ya godoro yanarushwa huku, Mungu ibariki Tanzania kweli kuvua gamba ni sawa na kujifungua (kuzaa) machungu na kuropoka kumbe raisi kwenye kikao cha chama anakuwa mwenyekiti tu hii kiboko

ingekuwa JB hapa habari yake ningeiamini haraka, ila kwakuwa wewe bado sijaona nyuzi zako bado nasubiri uthibitisho wa watu wawili watatu.
 
jamani hali huku ni mbaya mbaya mbaya sana usalama wa taifa uko mashakani yale ya chini ya godoro yanarushwa huku, Mungu ibariki Tanzania kweli kuvua gamba ni sawa na kujifungua (kuzaa) machungu na kuropoka kumbe raisi kwenye kikao cha chama anakuwa mwenyekiti tu hii kiboko

mh!haya mmemkwa!!!!!!!!!!!!
 
mkuu tupe update, hii si update bali ni promotion tuu ya bandiko lako
 
Nijuavyo mimi ni kuwa asilimia kubwa yenu watu wa pwani mtafurahia sana na mtagonga sana kahawa na ubwabwa kuanzia sasa.

Uko kwenye pay roll ya jamaa nini mbona kama umeguswa sana? Sidhani kama kuna cha wa pwani ama vipi hili swala ni la watanzania wote wenye mapenzi mema na nchi yao; kama wenye dhamiri zao mbaya wamejichomeka humo zamu yao pia ina wadia. No fisadi will cross the line drawn kwenda kwenye Ikulu ya Tanzania, and all shall know a King rule by his words for they carry power! Mliozoea kuchezea watanzania sasa wengine tumeamua kusimama katika nafasi zetu ili jina la baba yetu Jehova lisi tukanwe.
 
Toa point. UFISADI wa Lowassa ni nini? lete evidence.

Mwalimu kasema, shehe Yahaya Kasema Mfaume kasema (all RIP) au Sitta kasema haitosaidia. Who are they anyway? Saints, Angels?

Tupe evidence acha blah blah. Nikisema wewe ni Mwizi kwa kua hapo unapofundishia unaiba vitabu inakufanya uwe Mwizi?. Lazima niwe na EVIDENCE.

Acheni kucheza ngoma ya watu msioijua.

Nyie watu mnaudhi sana unataka evidence tuambie basi nyumba ya london ya £400,000 hela ameitoa wapi? Vile vile tunaomba atuambie kwanini Nyerere alipatwa na mshtuko alipokuta mmfanyakazi wa serikali who happened to be EL alikuwa akimiliki nyumba ambayo alitaka apangishiwe balozi wa South Africa? Tunaomba maelezo ya ufisadi wa Wizara ya maji ambapo tenda ya kusambaza mabomba ya maji alitaka kampuni yake ipewe tenda.

Bado unataka madudu mengine? Maana yapo ya AICC? Wizara ya Ardhi? Waziri mkuu? na kwengineo
 
jamani hali huku ni mbaya mbaya mbaya sana usalama wa taifa uko mashakani yale ya chini ya godoro yanarushwa huku, Mungu ibariki Tanzania kweli kuvua gamba ni sawa na kujifungua (kuzaa) machungu na kuropoka kumbe raisi kwenye kikao cha chama anakuwa mwenyekiti tu hii kiboko

Na kila mwenye mwili ajue ya kuwa hakuna kama Jehova; I said it long time ago mafisadi watengeneze nyumba zao huu ugonjwa ni wa mauti!
 
Kwa Ajili ya kuhakikishia mtu wake wa Zenji anakuwa rais anaweza. Huu ni mkakati, hawakukutana barabarai lakini si mtu wa pwani wala si mui......am

Acha ujinga wa udini na ukanda kwani uislam,uzanzibar,upwani,ukristo na uarusha ni kigezo cha urais?MAWAZO MGANDO.
 
Hacheni mbwembwe zenu, mnatudanganya tu hakuna lolote. Kama hamna kazi kalimeni hacheni upuuzi wa kushitua watu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom