Makbel
JF-Expert Member
- Aug 14, 2011
- 774
- 165
Hii risiti amefuta namba ya mbele 2 ni 28 units hv umept faida gani kwa huu UZUSHI
Elfu kumi mwisho wa mwezi wakupe unit 28? Ondoa mawazo mgando wewe.
Hii risiti amefuta namba ya mbele 2 ni 28 units hv umept faida gani kwa huu UZUSHI
Sasa ulitaka usilipe service charge? umeshafikiria gharama za usafiri na muda ulizopunguziwa kwenda kulipia bill yako TANESCO kila mwezi?
Elfu kumi mwisho wa mwezi wakupe unit 28? Ondoa mawazo mgando wewe.
Hapana mkuu bado hatujafikia huko.
Hii risiti amefuta namba ya mbele 2 ni 28 units hv umept faida gani kwa huu UZUSHI
Hivi kumbe ndio maana Service Charge?
[pole sana hakika hujuhi kitu kuhusu Umeme, Waulize wenzio nini maana Service Charge.
Hii risiti amefuta namba ya mbele 2 ni 28 units hv umept faida gani kwa huu UZUSHI
Ni bora Kua mkimbizi ukale unga wa Njano kuliko Hii Bongo.watu hawajielewi kabisa I dnt kno why.
Hapo kwenye Bold nakubaliana na wewe 100%Mimi nilipata hivyo pia inamaana kuna makato ya mwezi uamepita kama 6000.wabongo walipigia debe sana tozo la simu wakayaka kugoma kutimia simu lakini hili la umeme nobody cares! Sisi tumerogwa
Nguzo ulinunua, nyaya ulinunua, meter ulinunua na umeme unanunua. Je fixed cost unalipia nini?
Kweli dada yng unabisha tu au unatetea kitu ili mladi umetetea!!
Ivi wewe hujui kwa kupanda bei Umeme bidhaa zote kasoro mazao ya shambani zitapanda bei? Vile vitu tulivyokua tunanunua Mia tano vitapanda mpk Mia 800 buku!
Kupanda kwa Umeme sio Km kutaathili matumizi ya Umeme majumbani la hasha! Kutaathili mahitaji ya kila siku ya mwananchi! Huo Umeme ata nikitumia taa moja sio mbaya! Ata Km nikitiza taarifa ya Habari sio mbaya! Aya Km nikinywa Maji ya moto sio mbaya! Ata nisiposaga juice sio mbaya! Na pasi Je? Au niende Job sio nadhifu? Hayo ni mambo mtu waweza jinyima!
Lakini kwa swala la mahitaji muhimu ya binadamu vitu vitapanda bei kutokana na ghalama za uzalishaji kuongezeka hasha nishati ya Umeme!