Pamoja na agenda hii kuwa katika sharti mojawapo ya maandamano ya CHADEMA ni vema Serikali ikawafikiria wananchi juu ya kutatua tatizo hili.
Wananchi wanapitia maisha magumu ikiwa ni pamoja ukosefu wa umeme, bei ya mafuta, gharama ya usafiri, bei ya sukari, nyama, samaki na bidhaa nyingi ambazo sijazieleza.
Kwa Serikali sikivu chini ya Mhe. Rais ni vema matatizo haya yakatolewa matamko na wananchi tusikie sauti ya Serikali kuliko kukaa kimya. Kukaa kimya ndicho kinawapa nguvu CHADEMA kupaza sauti.