Amazing ni PM nikupe utaratibu wa masoko coz nipo kwa system kwa 2yrs now
Mimi nalima aina ya Sugar baby inachukua siku 60 tu kuvuna tangu plus siku 3-5 za kukaa ardhini, kwa hiyo kwa mwaka nalima mara 4 tu nina ekari 5 na kila eka napata kuanzia 2M-3M.
Spacing ni 2mx2m na kila shimo naweka mbegu 2 ambazo zinazaa matunda 2-3 kwa maana kila shimo napata matunda 4-6 ( wastani matunda 5).
Hivyo kwa spacing hiyo napata mashimo 1000-1200
Idadi ya matunda: Mashimo x Matunda kwa shimo x ekari [1,000 x 5 x 5 = 25,000]
Mapato: wastani wa shilingi 500 kwa tikiti x idadi ya matikiti kwa eneo la ekari 5 [25,000 x 500 = 12,500,000]
Mapato kwa mwaka: 12,500,000 x 4= 50,000,000
Gharama za uendeshaji wa shamba ni Tsh 25,000,000
Faida Kuu ni Tshs 25,000,000 M.
Tujenge taifa letu kwa kilimo
NASHAURI TU JAMANI,
Badala ya kulima heka tano jaribu kulima heka moja tu ila fanya yafuatayo.
Badala ya kuruka mita mbili otesha mtikiti kila baada ya nusu mita.
kwa heka moja utapata mashimo 19,800.
mtikiti ukitoa tunda moja tu ukate kwa mbele ili usiendelee kuzaa.
kwa hiyo tunda moja kwa mche mmoja utanenepa vizuri badala ya kuuza 500= uauza 2,000.
Tufanye ukaua 1,000= utapata 19,800,000 badala ya 2m.
Wakulima tuungane, tuelimishane, tutafute masoko pamoja. Whatsapp group 0717269137
Gagurito hii no haiko active kwenye Whatsapp unless kuna kitu nakosea!
Mimi nalima aina ya Sugar baby inachukua siku 60 tu kuvuna tangu plus siku 3-5 za kukaa ardhini, kwa hiyo kwa mwaka nalima mara 4 tu nina ekari 5 na kila eka napata kuanzia 2M-3M.
Spacing ni 2mx2m na kila shimo naweka mbegu 2 ambazo zinazaa matunda 2-3 kwa maana kila shimo napata matunda 4-6 ( wastani matunda 5).
Hivyo kwa spacing hiyo napata mashimo 1000-1200
Idadi ya matunda: Mashimo x Matunda kwa shimo x ekari [1,000 x 5 x 5 = 25,000]
Mapato: wastani wa shilingi 500 kwa tikiti x idadi ya matikiti kwa eneo la ekari 5 [25,000 x 500 = 12,500,000]
Mapato kwa mwaka: 12,500,000 x 4= 50,000,000
Gharama za uendeshaji wa shamba ni Tsh 25,000,000
Faida Kuu ni Tshs 25,000,000 M.
Tujenge taifa letu kwa kilimo
wadau mimi natafuta wataalam wa ku design a simple drip irrigation system kwaajili ya kilimo cha tikiti. kama kuna mtu ana namba za wahusika plz niPM