Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

Nipm sasa hivi nikupe namba ya mtu Anatolia Hiyo na kufanikiwa ukiongea naye kwa simu atajibu maswali yako tote,siwez weka hapa namba yake bila ruksa Kama uko serious ni pm nikupe namba harafu uje kuleta majibu umu
mkuu ubarikiwe kwa kutokuwa mchoyo kwa unayoyajua!
 
hili tunda lilinitoa jasho,

nilipata changamoto nyingi sana wakati naanza kulima,nilikuwa nalima maeneo ya Mwasonga Kigamboni, nilitumia mbegu ya Sukarii F1.ila inabidi ukubaliane na changamoto zitakazo kukabiri.

kwanza kuna panya wanao kula mbengu uliyo panda ile siku ya kwanza,kwa hiyo inabidi ulinde ndani ya siku 3 hadi mbegu ichepue,
kuna ngedere hawa wanakuja baaada ya tunda kuota,kuna fuko hawa wanakuja baada ya tunda kuiva.

Kuna mvua,kuna magonjwa harafu kuna kuoza kwa matikiti.yani changamoto zipo nyingi,mie nilikata tamaana maana ilikuwa kila siku ni pressure tu. nataka nijaribu kilimo kingine ila siyo tikiti ambalo linataka uache kazi ufanye kazi.
 
hili tunda lilinitoa jasho,

nilipata changamoto nyingi sana wakati naanza kulima,nilikuwa nalima maeneo ya Mwasonga Kigamboni,nilitumia mbegu ya Sukarii F1.ila inabidi ukubaliane na changamoto zitakazo kukabiri,
kwanza kuna panya wanao kula mbengu uliyo panda ile siku ya kwanza, kwa hiyo inabidi ulinde ndani ya siku 3 hadi mbegu ichepue,
kuna ngedere hawa wanakuja baaada ya tunda kuota,kuna fuko hawa wanakuja baada ya tunda kuiva.kuna mvua,kuna magonjwa harafu kuna kuoza kwa matikiti.yani changamoto zipo nyingi,mie nilikata tamaana maana ilikuwa kila siku ni pressure tu. nataka nijaribu kilimo kingine ila siyo tikiti ambalo linataka uache kazi ufanye kazi.

Ndugu ni kuangalia jinsi gani utapambana na matatizo hayo au tafuta shamba lisilo na hayo matatizo,nimelima kama sehemu ya special project na nimefanikiwa kuzalisha tikiti ya kg12 kwa kila moja though yapo pia machache,nimetumia hiyo hiyo Sukari F1 ndugu
 
mkuu magonjwa siyo sana kama utatumia umwagiriaji wa dawa,sasa kuna hawa wadudu,panya ,ngedere, fuko,wezi,chakula cha mkulimana, gharama za mkulima na usafiri ndiyo ulinimalizia hela.mie nilikuwa natumia gharama kubwa sana halafu nikaja pata faida kidogo kulingana na hawa madalali.

yani kulima kwangu kote nusu heka nikaja ambulia faida 400,000.sasa huoni kama nilikuwa nafanya kazi ya bure tena na pressure nilipata..
 
Ndugu ni kuangalia jinsi gani utapambana na matatizo hayo au tafuta shamba lisilo na hayo matatizo,nimelima kama sehemu ya special project na nimefanikiwa kuzalisha tikiti ya kg12 kwa kila moja though yapo pia machache,nimetumia hiyo hiyo Sukari F1 ndugu

mkuu ni wapi huko ullipolima?
 
hili tunda lilinitoa jasho,

nilipata changamoto nyingi sana wakati naanza kulima,nilikuwa nalima maeneo ya Mwasonga Kigamboni,nilitumia mbegu ya Sukarii F1.ila inabidi ukubaliane na changamoto zitakazo kukabiri,
kwanza kuna panya wanao kula mbengu uliyo panda ile siku ya kwanza,kwa hiyo inabidi ulinde ndani ya siku 3 hadi mbegu ichepue,
kuna ngedere hawa wanakuja baaada ya tunda kuota,kuna fuko hawa wanakuja baada ya tunda kuiva.kuna mvua,kuna magonjwa harafu kuna kuoza kwa matikiti.yani changamoto zipo nyingi,mie nilikata tamaana maana ilikuwa kila siku ni pressure tu. nataka nijaribu kilimo kingine ila siyo tikiti ambalo linataka uache kazi ufanye kazi.

Ulitumia kiasi gan kuandaa shamba
 
ulitumia kiasi gan kuandaa shamba

kama utatumia vibarua andaa laki 6.yani namaanisha
mbegu, mbolea chakula cha mfanyakazi, kulinda 3 days baada ya kupanda mbegu, ujira wa mfanyakazi, dawa,usafiri wa kubeba mbolea na vimatumizi vingine vido vidogo.
 
Ndugu ni kuangalia jinsi gani utapambana na matatizo hayo au tafuta shamba lisilo na hayo matatizo,nimelima kama sehemu ya special project na nimefanikiwa kuzalisha tikiti ya kg12 kwa kila moja though yapo pia machache,nimetumia hiyo hiyo Sukari F1 ndugu

Umelima maeneo gan mkuu???
 
Kwa kitabu cha ukulima wa matunda Kama matikiti maji,embe,chungwa,Migomba,nanasi,papai na pensheni unaweza kuniPM

Habari Mkuu..
Nimepitapita jamii forums nikakutana na post ya wewe kuwa na vitabu vya ujasiriamali hasa ulimaji wa mboga mboga. Nilikuwa naomba kwa ukarimu wako unipatie kwenye chayowa@gmail.com.

Asante sana
 
asante Neema, je umeishawahi kufanya hivi? Edmund anaruka mita 2 kwa kila shimo ila mbegu 2 kwenye shimo moja. Mie nadhani hii inakuwezesha kupita ukipulizia dawa nk. Labda useme mita 1 ila nusu? Tupe uzoefu wako kwenye hili

Huyu jamaa katulaghai. Ekari moja ni appr (64mx64m). Kama tuta lina urefu wa mita 64 utapata miche 128. Kama upana wa tuta ni mita moja utapata matuta 50. Kila tuta ukiotesha mistari miwili utapata 120x2x50 =mashimo 12000
Anzia hapo twende sawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom