Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,012
- 11,698
SHAMBA+
Habari.....?..
ni taarifa njema kwa wakulima na wauzaji pembejeo pamoja na dawa za kilimo, kampuni yetu pendwa ya NEXIS tunatoa fursa kwa wakulima na wauzaji pembejeo pamoja na dawa za kilimo kuweza kuwasajili bure kwenye system mpya ambayo itawawezesha wakulima,wauzaji pembejeo pamoja na dawa za kilimo muweze kukutana kwa njia rahisi kupitia application maalum ambayo mtapaswa kujisajiri bure.
kwa sasa tunaanza kuwasajili wale wenye maduka ya uuzaji pembejeo pamoja na dawa za kilimo, ili tuweze kuwaingiza kwenye system yaani application, huduma hii ni bure
karibuni kwa wauzaji pembejeo unaweza kutuma majina yako kamili pamoja na namba yako ili tuweze kujisajili sasa
karibuni sana
unaweza kuni inbox