Labile
Member
- Dec 9, 2016
- 58
- 63
Mwaka huu nimelima tikiti, I provided everything needed ila bado mazao hayanenepi, sababu kubwa iliyoni cost ni USIMAMIZI MBOVU.
Mimi ni mwajiriwa kwaio sikuwa na muda wa kutembelea shamba katikati ya wiki, nilienda siku 2 tu kwa wiki, baada ya 2 months nikampeleka afisa kilimo anionee shida nini, anafika pale kabla ya yote akasema hapa uzembe umefanyika kwenye upigaji wa maji, regardless shamba limepakana na ziwa, nina pump mpya na watumishi wa kutosha ila bado hili ndo limenikuta.
My take: tikiti ukilihudumia vizuri Lita appreciate endapo ukiwa pale muda wote una monitor shughuli, tunaweka hela nyingi ila madogo hawaoni umuhimu kabisa. Sijasarenda ntalima tena