Watoa mada wamezungumza nini? Tujuzeni kiundani zaidi jamani! Wengine tupo nje ya nchi, mawasiliano ya simu leo ni mabovu sana plz, alichosema mtoa mada wa kwanza... TupatieniVijana 300 waliojiunga ndani ya wiki moja wanakabidhiwa kadi zao
Mkuu, wanaboa hao walioko huko!:kev:Watoa mada wamezungumza nini? Tujuzeni kiundani zaidi jamani! Wengine tupo nje ya nchi, mawasiliano ya simu leo ni mabovu sana plz, alichosema mtoa mada wa kwanza... Tupatieni
Endeleni msichoke
Amazing!mh.Zito ndo mc wa leo(hilo si la ajabu),cha kushangaza,sijawahi kumuona mh. huyu akiwa amevaa kombat tena na kofia,vipi amesoma alama za nyakati?Hongera zito,nimeipenda hii.
Jamani niko ha exteno kongamano liko wapi?
Mbona hamsemi in brief watoa mada wanasema nini?
Kwa staili hii ya kunyimana info. tutachelewa kufika.
kadi za ccm zinarudishwa kama njugu
waungwana tunaomba msaada wakutufahamisha matukio muhimu na kinachoendelea wakubwa, just uzalendo kwa ambao hatujafika, shukrani za awali natanguliza
wanaboa kweli
waungwana tunaomba msaada wakutufahamisha matukio muhimu na kinachoendelea wakubwa, just uzalendo kwa ambao hatujafika, shukrani za awali natanguliza