Kilichojiri viwanja vya Mabibo - kongamano la vijana wa CHADEMA

Vijana 300 waliojiunga ndani ya wiki moja wanakabidhiwa kadi zao
Watoa mada wamezungumza nini? Tujuzeni kiundani zaidi jamani! Wengine tupo nje ya nchi, mawasiliano ya simu leo ni mabovu sana plz, alichosema mtoa mada wa kwanza... Tupatieni
 
Watoa mada wamezungumza nini? Tujuzeni kiundani zaidi jamani! Wengine tupo nje ya nchi, mawasiliano ya simu leo ni mabovu sana plz, alichosema mtoa mada wa kwanza... Tupatieni
Mkuu, wanaboa hao walioko huko!:kev:
Wamekauka jumla bana!
 
Amazing!mh.Zito ndo mc wa leo(hilo si la ajabu),cha kushangaza,sijawahi kumuona mh. huyu akiwa amevaa kombat tena na kofia,vipi amesoma alama za nyakati?Hongera zito,nimeipenda hii.
 
waungwana tunaomba msaada wakutufahamisha matukio muhimu na kinachoendelea wakubwa, just uzalendo kwa ambao hatujafika, shukrani za awali natanguliza
 
waungwana tunaomba msaada wakutufahamisha matukio muhimu na kinachoendelea wakubwa, just uzalendo kwa ambao hatujafika, shukrani za awali natanguliza

jamani msitulaumu sana,mambo yanayo ongelewa hapa ni hoja nzito,watu wote wako makini wanasikiliza hakuna anayejitingisha zaidi ya makofi.mimi siwezi kusikiliza na kutoa taarifa siyo fani yangu.naweza kutoa record baadae tu.
 
Back
Top Bottom