Kilichojiri viwanja vya Mabibo - kongamano la vijana wa CHADEMA

Kikwete anasema uchaguz umeisha tuache malumbano, anasahau kuwa kuna uchaguz mwingine. H/w mkatafute maana ya malumbano. Cdm wanafanya siasa na c malumbano
 
Kuunda tume ya raisi ya katib, ripoti ni ya kwake na huwezi kudai ambacho wametoa hakikuwekwa kwenye ripoti, hivyo kuwa na kamati ni mchanga wa macho
 
Kamati zilizopita wabunge na mawaziri walitumwa majimboni kuanda watu wa kuongea na majib wakatumia 2.5bil
 
Chtand kutoka tanga, lakn lucy owenya ni wakimanjaro. Hivyo comparison ya chiligati na hiz hazijaenda shule
 
Huwezi ukcem tembo ana migu 4, ukcm kwa kuwa ng'ombe ana miguu 4 bac ni tembo. Huna shule chiligati
 
Ded alipoahirisha kikako alicema kikao kitafanyika olacity, cdm wakaingia mkenge kwenda olaciti kumb ccm walizungushiwa barua uck kikakn kifanyike h.w. Goli likafungwa
 
Back
Top Bottom