Kilichofanywa na NHIF si Uungwana

made

JF-Expert Member
Jun 29, 2010
890
581
Karibu miezi miwili iliyopita watu waliitwa kufanya interview pale NHIF,lakini kilichotokea hawakuwaita wale watu wote waliofanya interview ile,badala yake waliamua kuwaita wale watu waliowahi kufanya tempo pale miaka ya nyuma.
Kilichonishangaza ni kwanini waliamua kutangaza nafasi za ajira then kuwaita watu katika usaili ili hali walikuwa na mpango wa kuwaita hao wa zamani,hawakuelewa kwamba kuna watu walitoka mbali(mikoani)kuja kufanya usaili?
Kiukweli inakatisha tamaa kabisa.
Ni hayo tu.
 
Its like you are in the crowded room, screaming at the top of your lungs but no one even look after.
 
Unashangaa NHIF bado Veta nao wana tabia hiyo.

Tatizo lenu kwa wale msio na experience ya kutafuta kazi ni moja tu! nalo ni KUSIKILIZIA!!!! mnapenda sana kusikilizia application na interview mnazozifanya!!! Wenzenu tulio na uzoefu wa kutafuta kazi bila kupata kwa miaka kadhaa sasa huwa hatusikilizii!!! Tunadondosha CV/application mahali halafu tunapotezea kama hakuna tulichofanya!! Inafikia wakati unaitwa mahali Interview, halafu unajiuliza "ni nani alipeleka application yangu kule!!!" coz', baada ya kudondosha application, ukapotezea hadi unasahau kabisa kwamba ulipeleka application!! Hata baada ya interview, wakongwe huwa tunapotezea kwamba kuna mahali umefanya interview! ukipenda kusikiliia haya mambo, mtaugua ugonjwa wa moyo brodaz!! Sana sana, unaweza kusikilizia maximum mwezi mmoja...sasa wana mnasikilizia hata kazi mlizoomba tangu June?!
 
hivi lini maandamano ya wasomi wasio na ajira?

Wasome wamejibwetekea gawataki kukemea upupu wa serikali kwakushirikiana na wanaharakati nadhani wanasubiria nchi ikishamalizika kuuzwa ndo waanze kukemea na kutetea haki za raia
 
social justice nchini kwetu imepotea kabisa............ ni vimemo na matumizi ya watu wengine kama decoy

haya bhana
 
Wasome wamejibwetekea gawataki kukemea upupu wa serikali kwakushirikiana na wanaharakati nadhani wanasubiria nchi ikishamalizika kuuzwa ndo waanze kukemea na kutetea haki za raia

Nchi inaoza,wasomi ambao ndio think tanks tume''shikwa'' na ma layman..kisingizio kimekua umaskini,hata wale wa vijijini ambao miaka ya zamani waliamini wasomi ndio taa na mwongozo wao leo hii kila jambo politician, we've reached a point ya kufanya maamuzi magumu..unemployment ni bomu linalosubiriwa kulipuka.
 
This is Absolutely not fair!!
Watu wamepoteza muda wao wakisikilizia huenda wanaweza kuitwa but bila mafanikio!!!
 
Mtoa mada hayo unayoyasema umeambiwa na NHIF au ni majungu ya mitaani, nenda kawaulize wao !
 
Hayo yaliyoandikwa na mtoa mada hapo ni kweli kabisa!!!!umefika mwezi tangu waanze kazi.I did a research before posting.
 
Karibu miezi miwili iliyopita watu waliitwa kufanya interview pale NHIF,lakini kilichotokea hawakuwaita wale watu wote waliofanya interview ile,badala yake waliamua kuwaita wale watu waliowahi kufanya tempo pale miaka ya nyuma.
Kilichonishangaza ni kwanini waliamua kutangaza nafasi za ajira then kuwaita watu katika usaili ili hali walikuwa na mpango wa kuwaita hao wa zamani,hawakuelewa kwamba kuna watu walitoka mbali(mikoani)kuja kufanya usaili?
Kiukweli inakatisha tamaa kabisa.
Ni hayo tu.

Kaka pole sana, usijali hapo haikuwa riziki, Mungu akipenda utapata kwingine. Hao jamaa si ndio waliowaita takribani watu elf5? wao walitaka posho ya kufanyisha interview, maana watu wote wale sidhani kama interview ilifanyika siku moja, na ninajua kwa serikalini wanaokaa kwenye panel hulipwa.
 
Tujifunze potezea interview kwanza vyeti vimeenda na mafuliko sitaman hata kuitwa mana sijuh ntajiteteaje.
 
Back
Top Bottom