Kilevi cha Konyagi sikielewi, kingine ni 35%vol na kingine ni 35%ABV

Kuna siku niliamua kusoma maandishi ya chupa mzima. Ila sikufanikiwa kukumbuka hata neno moja. Sijajua br wewe huwa unayesoma ukiwa unafanya nini maana si rahisi kukumbuka maandishi ya kwenye chupa ya bia labda uwe baa bedi au mfanya usafi. Narudia tena ni NGUMU kuyakumbuka yale maandishi.. Kwanza hilo neno KONYAGI mda mwingine nalisahaaugu mpaka mhudumu anaponikumbusha kuwa nimekunywa KONYAGI
 
Back
Top Bottom