Kilevi cha Konyagi sikielewi, kingine ni 35%vol na kingine ni 35%ABV

Mzhokomi

JF-Expert Member
Jul 9, 2014
232
167
Hawa konyagi hizi alcohol % zao nashindwa kuzielewa au kuna feki hapa.
Unakuta wameandika hivi
alcohol 35% vol. ,nyingine wameandika
35%ABV
sasa hapa ndo nashindwa kuelewa.
 
Hawa konyagi hizi alcohol % zao nashindwa kuzielewa au kuna feki hapa.
Unakuta wameandika hivi
alcohol 35% vol. ,nyingine wameandika
35%ABV
sasa hapa ndo nashindwa kuelewa.
Tatizo wewe siyo mnywaji. Mi nakunywa hii kitu na wala sijawahi kuona hayo maandishi. Kwanza wewe unayasoma ili yakusaidie nn? Unataka kunywa au unatafuta maana na tofauti ya maandishi?

Mbona coca wana chupa zenye ile lebel nyekundu na nyingine hazina ila watu wanakunywa tu kiroho safi.
 
Hhahaahaa..jaman nimechekaa..na uchov wote umekwisha..dah
 
Tatizo ukishaiweka kwenye glass lile funda la kwanza kupeleka mdomoni ndio linatia uvivu hadi unapata muda wa kukagua chupa.
Lakini ukishamaliza mzinga mzima hata yule jamaa mweusiii unaweza kumuona anamacho na ile mikono aliyoweka juu ukaona ni kama amekukingia ngumi mpigane.
Ndio maana ukinywa nyagi mtu unajiamini balaa.
 
Tatzo hii kitu nikinywa kweny uwanja Wa fundi seremara aaah lazima bby ajipange.......patawaka moto
 
Back
Top Bottom