Kila jambo lina Mwanzo na Mwisho: CUF ilianza sasa inakufa

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Chama kiko dhoofu ilhali. Namuona Ismael Jusa yupo Channel Ten. Siku hizi CUF + Channel Ten ni kama Breakfast.
 
Sasa Hamad Rashid yuko live kwa simu anajibu mapigo. Why is all these shyt? Oh CUF. Am sorry for you CUF.
 
Yanayosemwa ni mengi mno. Ila kwa kusamaraiz naweza kusema HR analaumiwa kwa kufuja pesa.
 
Ladu anadai HR ameandika kitabu ambacho sehemu ya contents ni Nyaraka za Chama. Kwa kitendo hicho Ladu anadhani HR alikiuka maadili ya chama na uongozi.
 
Jusa nae atuambie kama kweli anapewa hela na rostam

Hawa jamaa mgogoro wao ni too personal. Ladu anadai aliombwa na HR amkopee Bilioni 1 kwa Rostam kwa kuwa Ladu na Rostam ni mabestee. Akakataa. Sasa hapo ikawa bifu.
 
Ladu anakiri kwa kinywa chake mbele ya dunia kuwa Chadema ni maji marefu.
 
Back
Top Bottom