Kama TLP ina ghorofa Magomeni, CUF inalo Buguruni na NCCR walikuwa nayo Bunju. Nashauri Wana-CHADEMA kuhakiki mali zenu sasa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,127
Kama Vyama hohehahe kama akina TLP, akina CUF na NCCR wamemiliki mashamba na Maghorofa ni wazi Chama cha mabepari Chadema kinamiliki mali nyingi.

Hata CCM kama siyo yule Shujaa hadi leo tusingejua kama Channel ten ni mali ya chama pamoja na ile kampuni ya Simu za mikononi inayomiliki 40% ya Soko naniliucom.

Chadema amkeni Saa ya Ukombozi ni sasa.
 
Chadema ni chama cha siasa sio Building Construction Company inatakiwa kujenga taasisi imara sio kujenga maghorofa, iko wapi TLP yenye ghorofa iko wapi CUF yenye ghorofa iko wapi NCCR yenye ghorofa, ghorofa bila kuwa na taasisi imara ndani yake ni sawa na gofu tu.
 
Chadema ni chama cha siasa sio Building Construction Company inatakiwa kujenga taasisi imara sio kujenga maghorofa, iko wapi TLP yenye ghorofa iko wapi CUF yenye ghorofa iko wapi NCCR yenye ghorofa, ghorofa bila kuwa na taasisi imara ndani yake ni sawa na gofu tu.
Ni ngumu kukuelewa watu hao. Chama cha watu ni watu waliojengwa katika ideology ya chama.

Chadema ni chama imara nchi hii kuliko CCM yenye miaka mingi na ipo madarakani.

Nguzo kuu ya CCM ni dola, once dola ikafuata katiba na sheria walao kwa wiki moja tuu, CCM itadondoka kama Mandonga

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Chadomo wanamiliki hii hapa 👇
 

Attachments

  • 20220726_180627.jpg
    20220726_180627.jpg
    23.6 KB · Views: 3
Mbowe anajenga kwao Hai maghorofa, na Ile michango tuliyochanga, aliikabidhi kanisa la Kijijini kwao, KKKT, milioni 100
IMG-20220927-WA0006.jpg
 
Ghorofa ni tofali na nondo tu. si kama dhahabu au almasi tuliyoshindwa kuichimba. watu na maarifa yao ndio kitu muhimu. Watu wapaswa kufahamu.
 
Back
Top Bottom