Gosbertgoodluck
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 2,855
- 401
Jk amerudia tena kauli ya membe kwamba serikali yake inapinga Bw. Gbagbo kuendelea kung'ang'ania madarakani wakati ushahidi upo wazi kuwa alishindwa uchaguzi. Ama kweli nyani haoni ku......

Na sisi tunamwambia kuwa tunapinga yeye kung'ang'ania urais wa Tanzania ilhali raisi wa watanzania ni Dr. Slaa.
Slaa alipata kura ngapi na Kikwete alipata kura ngapi??
Jk amerudia tena kauli ya membe kwamba serikali yake inapinga Bw. Gbagbo kuendelea kung'ang'ania madarakani wakati ushahidi upo wazi kuwa alishindwa uchaguzi. Ama kweli nyani haoni ku......
Swali hilo kamuulize Othman wa TISS na Makame wa NEC, wao ndiyo wana data za ukweli kabla ya uchakachuaji uliomtangaza JK kuwa Rais.
Na why aende kuyasemea nje ya nchi?
Na yeye akae akijua kuwa tunapinga uchakachuaji wa kura aliofanya
Na why aende kuyasemea nje ya nchi?
So you dont have the facts my dear?? kama unaamini wale ndio watangazaji wa matokeo kwa nini usiamini kuwa walikuwa sahihi? chadema walihesabu kura na matokea halali yalikuwa tofauti kama ya asilimia 1 tu! JK akiwa mshindi!
Guys leteni hoja basi humu za kuunda katiba.............. jamani crying kuwa Kikwete alishinda kwa uchakachuaji huku yuko madarakani !!! inasaidia nini??
So you dont have the facts my dear?? kama unaamini wale ndio watangazaji wa matokeo kwa nini usiamini kuwa walikuwa sahihi? chadema walihesabu kura na matokea halali yalikuwa tofauti kama ya asilimia 1 tu! JK akiwa mshindi!
Legally Kikwete is the President of this country, but legitimately he is not!! Hana legitimacy ndio maana wananchi walio wengi wanambeza.
Na why aende kuyasemea nje ya nchi?