Najijua
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 1,039
- 180
Let's we come to a conclusion that JK is ze president na tusidanganye kuwa Dr. Slaa is the president now wakati hana mamlaka hayo, nini sisi wenyewe tumeshindwa kuonyesha hisia zetu kwa vitendo na kubaki kulalamika tuu amabkao haisaidii chochote kwa sasa.
If we real meant kumkataa JK tungehamasiha maandano ya amani nchi nzima kuonyesha hisia zetu, tungeendesha midahalo na makongamano nchi nzima kuonyesha hisia zetu na kuwaeleza ukweli watanzania wenzetu walio lala na tungewasahuri viongozi wa CHADEMA kufanya jitihada za kuonana na viongozi wa matifa mengine duniani na kupeleka malalamiko yao wakiwa na ukweli mkononi.
Kwa kufanya hivi ndio kweli tungeonyesha nia ya dhati kuwa hatumtaki JK kwa ushindi wa dhuluma alioupata na hapo CCM wangejifunza how serious people are na tulivyoamka kudai haki na maslahi yetu.