Kikwete: Nisingepewa Elimu na Kanisa ningekuwa nafanya biashara ndogondogo Chalinze!

Anti Slaa as usaual, always thinking about Slaa even if the thread talks unrelated issues

Mkuu ukiwa unajadiliana na Ritz basi usitumie lugha ya kingleza..Historia inaonyesha umu jf achangii mijadala ya kiinglish wala kujibu hoja za kingleza..Tatizo ni nn anajua mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Wewe na yule Dokta Kasoga aliyekurupuka kudai ati Kikwete alitumia jina la Samuel Luhanga ni wakurupukaji tu, mada inayozungumzwa ni nyingine, ninyi mnazusha mengine.

Dk. Kasoga naweza kumsamehe, lkn wewe ujinga umekujaa maana ungeweza kujifunza kwa makosa ya Dk Kasoga [kuchanganya mambo yasiyohusiana] na kujirekebisha, lkn kwa ajili ya chuki zako kwa Dk. Slaa, umeshindwa kabisa kuficha donge lako. Chuki iliyopitiliza inakushushia heshima yako Ritz.
Mimi siitaji kuheshimiwa na wanafiki kama wewe mleta mada kaleta kwa kejeli mmesahau kama Dr.Slaa anatumia jina la baba yake wa kambo wala siyo chuki kuna nyuzi nyingi tu humu JF nikuwekee watu wanahoji kwa nini Dr.Slaa ataki kutumia jina la baba yake mzazi, mnaleta unafiki kwa JK akigushwa mtume wenu povu linawatoka...vumilia kamanda.
 
Kwa mujibu wa Dr. Ngowi wa University of Bagamoyo aliyealikwa katika kipindi cha malumbano ya hoja. Anasema alisomea shule za seminari na kutumia jina la Samwel Luhanga na baadaye ndipo akatumia jina la Jakaya Mrisho Kikwete. Tuna mengi ya kujifunza.

Hongera Samwel Jakaya Kikwete

Chanzo: ITV malumbano ya hoja

Tanzania ina mambo!
 
Wakuu.

Hayo ni majina tu yasitutuzue, kama aliamua kuchukua majina kwa ajili ya kupata elimu na imani yake haiku tetereka akabaki kuwa imara haliwezi kuwa tatizo, jina hubaki kuwa jina kama utambulisho na kwa watu makini jina haliwezi kuwa imani!

Lakini imani ikibadilika ndio utata na tatizo huanzia hapo. Kama JK alibadili jina na imani yake ya kidini ikabadilika kutokana na jina basi hapo ndio penye tatizo. kumbukeni kwenye nchi za kiarabu ambako kuna watu wa dini za imani nyingine unaweza kukuta mtu ana jina la kiarabu ambapo kwa huku Tanzania tungesema kuwa ni jina la kiislamu lakini mtu huyo huwa ni mkristo. Tarik Azizi kwa mfano amekuwa akisemwa kuwa hakuwa muislamu japo jina lake kwa haraka huonekana kuwa la kiislamu.

Nchi ya misri kwa mfano, kuna ushahidi wa watu wengi wenye majina ya kiarabu ambao si waislamu bali wakristo. Kwa JK mjadala kama ilikuwa ni kubadili jina na kumnyima mtu mwenye jina lake fursa ya kusoma hapo ndio penye tatizo ukiachilia mbali lile swala la Kiimani.

Unachanganya wewe mkuu
Hakuna majina ya waislamu wala hakuna jina la wakiristu.
Kuna majina ya waarabu na majina ya wazungu. Ukikuta mwarabu ni mkristu mara nyingi atakuwa ana jina la kiarabu, na ukikuta mzungu ni mwisilamu utakuta ana jina la kizungu. Kama whitewidow ni mwisilamu jina lake Samatha.
 
Teh teh teh! Unajua lakini kama Dr.Slaa atumii jina la baba yake mzazi anatumia jina la baba yake wa kambo?

Leo ndiyo utajua nani amekurupuka.

hivyo kikwete naye ataki kutumia jina la baba yake mzazi la luhanga sababu dr slaa naye atumii???
 
Mkuu ukiwa unajadiliana na Ritz basi usitumie lugha ya kingleza..Historia inaonyesha umu jf achangii mijadala ya kiinglish wala kujibu hoja za kingleza..Tatizo ni nn anajua mwenyewe.
Kingleza...

Teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
Huyu Dr.Ngowi ina bidi akimbie nchi usiku huu huu otherwise tutegemee mtu kung'olewa kucha,tindi kali,msitu wa pande kama si South huyu Rais Samweli Luhanga ni kama PK tu!
 
Hata Padre Slaa alivyosoma seminari alikuwa anatumia jina la baba yake wa kambo kwa mujibu wa jamaa zake wa Karatu.

Hahaha mkuu hapa hoja ni Sam Jak. Babu ataanzishiwa uzi wake bhana.
 
Mimi siitaji kuheshimiwa na wanafiki kama wewe mleta mada kaleta kwa kejeli mmesahau kama Dr.Slaa anatumia jina la baba yake wa kambo wala siyo chuki kuna nyuzi nyingi tu humu JF nikuwekee watu wanahoji kwa nini Dr.Slaa ataki kutumia jina la baba yake mzazi, mnaleta unafiki kwa JK akigushwa mtume wenu povu linawatoka...vumilia kamanda.

kwa hiyo ni kweli rais kikwete alisomea seminary huku akiitwa samweli luhanga?
 
Unachanganya wewe mkuu
Hakuna majina ya waislamu wala hakuna jina la wakiristu.
Kuna majina ya waarabu na majina ya wazungu. Ukikuta mwarabu ni mkristu mara nyingi atakuwa ana jina la kiarabu, na ukikuta mzungu ni mwisilamu utakuta ana jina la kizungu. Kama whitewidow ni mwisilamu jina lake Samatha.

Asante kwa kujazia uzito Mkama! Nimejikuta nacheka ulipo mtaja white widor! Hahaha
 
Hongera baba yake Jakaya kwa kutambua umuhimu wa elimu bora na kumpenyeza mwanao kijanja.
 
Hata Padre Slaa alivyosoma seminari alikuwa anatumia jina la baba yake wa kambo kwa mujibu wa jamaa zake wa Karatu.

Ritz nasikia baba yako aligoma kusoma shule za kikristo ili asipotoshwe...
Wapo walioamua kubaki wachoma mikaa kuliko "kusaliti" imani zao...
 
Back
Top Bottom