Kikwete: Nisingepewa Elimu na Kanisa ningekuwa nafanya biashara ndogondogo Chalinze!

Kwa mujibu wa Dr. Ngowi wa University of Bagamoyo aliyealikwa katika kipindi cha malumbano ya hoja. Anasema alisomea shule za seminari na kutumia jina la Samwel Luhanga na baadaye ndipo akatumia jina la Jakaya Mrisho Kikwete. Tuna mengi ya kujifunza.

Hongera Samwel Jakaya Kikwete


Chanzo: ITV malumbano ya hoja
Muulize kwanza Dr.Slaa kwa nini ataki kutumia jina la baba yake mzazi.
 
Wakati ule ilikuwa ni mbinu iliyotumiwa na waislam wengi ili kupata fursa ya kusoma shule za Kikristu, na kweli alifanikiwa
 
kwa hiyo baba wa kambo wa Kikwete ni Luhanga au Samwel? Umekurupuka, think twice
Teh teh teh! Unajua lakini kama Dr.Slaa atumii jina la baba yake mzazi anatumia jina la baba yake wa kambo?

Leo ndiyo utajua nani amekurupuka.
 
Kwa mujibu wa Dr. Ngowi wa University of Bagamoyo aliyealikwa katika kipindi cha malumbano ya hoja. Anasema alisomea shule za seminari na kutumia jina la Samwel Luhanga na baadaye ndipo akatumia jina la Jakaya Mrisho Kikwete. Tuna mengi ya kujifunza.

Hongera Samwel Jakaya Kikwete


Chanzo: ITV malumbano ya hoja

Huyu Dr. Ngowi amejionyesha udhaifu wake kwa jamii. Nilikuwa najiuliza laiti angekuwa mwalimu wangu ingekuwaje..
 
jK Luhanga.. Its sound..then huyu dokta aangalie asije akavamiwa na majambazi wakanyanganya laptop na hela..akachalangwa mapanga akapelekwa a.kusini.
 
Lakini mimi nadhani kikubwa kuhoji ni uwezo,jina si chochote katika maisha ya mwanadamu maana hata kwa wale wanaosoma BIBLIA TAKATIFU YAKOBO Naye alikuja kuitwa ISRAEL. So let us concentrate on capability and not names maana jina haliwezi kuathiri kiti chochote kiutendaji. Ila J key ni kilaza kweli kweli ukweli ndiyo huo.
 
Back
Top Bottom