Emma Lukosi
JF-Expert Member
- Jul 22, 2009
- 929
- 147
"Ukitaka kula lazima Uliwe, Huwezi kula bila kuliwa". Hivi Kauli aliisema Rais Mkapa? :confused2:.
Acha Uongo:eyeroll2:* Rais wa kwanza duniani kucheza kiduku!
*Rais wa kwanza kutolewa kwenye zeutamu site!
Wandugu nimetumiwa maswali yafuatayo na jamaa yangu mmoja ili nimsaidie lakini binafsi yamenishinda, nadhani atakuwa kapewa asignment katika hii kozi fupi ya maandalizi ya uchaguzi. Plz mchango wenu utanisaidia kumjibu.
1. Ni rais gani duniani anayeamini kwamba kukaa madarakani miaka mitano ni kujifunza ili baadaye ukipewa fursa ya miaka mingine tena aweze kuwa mfanisi?
2.Rais wa kwanza Duniani kuwa na rekodi ya kuanguka anguka mbele ya kadamnasi ni.....
3.Ni Rais gani duniani anaye amini kwamba suala la urais ni la kifamilia zaidi na siyo la kitaifa?
4.Rais wa kwanza duniani kutamka hadharani kwamba hajui umaskini wa watu
wake unatokana na nini, ni................
5. Rais wa kwanza anaechukulia wingi wa magari kama kipimo cha maisha
bora! ni.............
6. Rais wa kwanza duniani anaepata ulinzi wa nguvu za Giza.(mnajimu) ni..........
7. Rais wa kwanza Duniani aliyesema watoto wadogo wa shule kupata mimba ni
kiherehere chao ni...........
8. Rais wa kwanza anayeogopa kuwaburuza mahakamani mafisadi ila ana uwezo mkubwa wa kumuwekea fitina mwizi wa mke wa mtu ni.........
9.Rais wa kwanza duniani aliyetumia 60% ya mabango yote ya biashara nchini
kwake kujinadi wakati wa kampeni ni..........
10. Ni Rais gani Duniani ambaye kwa mtazamo wake anahisi kafanya kazi kubwa nchini kwake kiasi cha kujisikia fahari kubwa kumuandaa mwanaye ili naye siku moja afuate nyayo zake...............
11. Rais wa kwanza Africa kudanganywa vibaya mno na wasaidizi wake ni........
12. Rais wa kwanza kusini mwa jangwa la sahara kufanya safari nyingi za nje ya nchi ndani ya mwaka mmoja tangu aingie madarakaini ni..............
13. Ni rais gani duniani ambaye akiwa madarakani ndani ya miaka mitatu kaoa mabint wawili wenye umri sawa na wanawe, lakini hapendi ifahamike japo dini yake ina mruhusu?
14. Ni rahisi gani Duniani ambaye anaamini katika utawala wa sheria na amesaini sheria ya uchaguzi wa Taifa lake, kwa bahati mbaya amekuwa wa kwanza kuzikiuka?
Cheki data ya huyu jamaEnergy used to prepare these writtings could be used to produce enough funds to send at least one kid to school. You are no different than FISADI's wasting lots of resources for no good reason.
* Rais wa kwanza duniani kucheza kiduku!
*Rais wa kwanza kutolewa kwenye zeutamu site!
Acha Uongo:eyeroll2:
Ahh! Tafadhali Bwana:becky:. "Ukitaka kula lazima Uliwe, Huwezi kula bila kuliwa" Kumbe hii kauli ilianzia hapo.:confused2:hukumbuki walimtoa anasokomezwa kitu na ndipo zeutamu ilipofungwa
Yani wenzake walivyosemwa hakusema kitu lakini jama alivyowekwa tu wakachokoza nyuki. Ghafla eti kaona "no freedom of speech" lazima afunge maana eti yeye ndio kaonyeshwa. Mbona wenzake walivyowekwa hakusema kitu? HYPOCRITE LIKE BEHAVIOUR. ound:ound:ound:hukumbuki walimtoa anasokomezwa kitu na ndipo zeutamu ilipofungwa
Hahahahahahaaaaaaaaa!!!!! Inachoma hiyoo, mngeprodyuz robo ya mabango na T-shirt, kofia, na "macho panzi" mnazotumia blv me mngetoa Elimu BURE, Afya BURE na wale watoto wa kike wanaopata mimba kwa 'VIHEREHERE" Vyao mngewajengea mabweni kuwakatisha viherehere!Energy used to prepare these writtings could be used to produce enough funds to send at least one kid to school. You are no different than FISADI's wasting lots of resources for no good reason.