Elections 2010 Kikwete ni rais wa kwanza duniani kufanya mambo haya!

Rais wa kwanza kuwa na afya mbovu na kuendelea kung'ang'ania madarakani wkt katiba haimtaki
 
Rais wa kwanza anaeringia u-hendsome badala ya ufanisi wake.
 
Hii sio makala niliyoandika mwenyewe, mwandishi wake simfahamu, nimeipata kwenye email box mara ya tatu leo so nimeamua kushare na wanajamvi wakati wanajiandaa kupiga kura mwezi huu:

1.Rais wa kwanza duniani kudanganywa vibaya mno na wasaidizi wake

2.Rais wa kwanza kuwa na rekodi ya kuanguka anguka mbele ya kadamnasi

3.Rais wa kwanza duniani kufanya safari nyingi za nje ya nchi ndani ya mwaka mmoja tangu aingie madarakaini

4.Rais wa kwanza duniani kutamka hadharani kwamba hajui umaskini wa watu wake unatokana na nini.

5. Rais wa kwanza duniani kuchakachuliwa mafuta kwenye gari yake ikazima barabarani

6. Rais wa kwanza anaechukulia wingi wa magari kama kipimo cha maisha bora!

7. Rais wa kwanza duniani anaepata ulinzi wa nguvu za Giza.(mnajimu)

8. Rais wa kwanza aliyesema watoto wadogo wa shule kupata mimba ni kiherehere chao....

9. Rais wa kwanza anayeogopa mafisadi.

10.Rais wa kwanza duniani aliyetumia mabango yote ya biashara nchini kwake kujinadi wakati wa kampeni mpaka picha za kampeni

11.Rais wa kwanza duniani aliyesema hahitaji kura za wafanyakazi
 
Rais wa Kwanza wa TZ Kutawala miaka 5 tu toka vyama vingi vianze. maana oct 31 lazima aondoke
 
Rais wa kwanza kuahidi ahadi nyingi kuliko rais yeyote duniani
 
raisi wa kwanza kunadi watuhumiwa wenye kesi mahakamani kuwa ni wasafi na kwamba hajaona wengine kama hao.
 
Rais wa kwanza kusema
  1. Upinzani ni fotokopi
  2. Upinzani ni vyama vya msimu
  3. Upinzani unataka kuingia ikulu kwa kukanyaga maiti
 
Back
Top Bottom