Rais wa Mabunge Duniani ni mfano "role model"

Andrew123

JF-Expert Member
Jun 2, 2012
7,072
8,674
Vijana wanaochipukia katika Siasa nchini wanapaswa kujifunza kutoka kwa Dr Spika Tulia, Ackson, LLD (Mbunge) na Rais wa Mabunge yote duniani (IPU).

Hakika sisi Wana Mbeya Mjini tunajisikia wenye bahati Sana kupata HESHIMA hii.

Tofaut na miaka mingi iliyopita, Mbeya Mjini tumepata Msomi na Kiongozi wa kweli anayepeperusha bendera ya Tanzania kimataifa.

NB: Siasa za makelele na kufokafoka Mbeya (M) ziliisha 2020.

1699494225327.jpeg
 
Vijana wanaochipukia katika Siasa nchini wanapaswa kujifunza kutoka kwa Mheshimiwa Dr Spika Tulia, Ackson, LLD (Mbunge) na Rais wa Mabunge yote duniani (IPU).

Mheshimiwa Spika wa Dunia karibu Sana Zanzibar
 
Vijana wanaochipukia katika Siasa nchini wanapaswa kujifunza kutoka kwa Mheshimiwa Dr Spika Tulia, Ackson, LLD (Mbunge) na Rais wa Mabunge yote duniani (IPU).

Hakika sisi Wana Mbeya Mjini tunajisikia wenye bahati Sana kupata HESHIMA hii.

Tofaut na miaka mingi iliyopita, Mbeya Mjini tumepata Msomi na Kiongozi wa kweli anayepeperusha bendera ya Tanzania kimataifa.

NB: Siasa za makelele na kufokafoka Mbeya (M) ziliisha 2020.
Hakika Dr Tulia Ni mfano wa kuigwa. Msomi, mwanasiasa na anaesaidia Jamii.
 
Vijana wanaochipukia katika Siasa nchini wanapaswa kujifunza kutoka kwa Mheshimiwa Dr Spika Tulia, Ackson, LLD (Mbunge) na Rais wa Mabunge yote duniani (IPU).

Hakika sisi Wana Mbeya Mjini tunajisikia wenye bahati Sana kupata HESHIMA hii.

Tofaut na miaka mingi iliyopita, Mbeya Mjini tumepata Msomi na Kiongozi wa kweli anayepeperusha bendera ya Tanzania kimataifa.

NB: Siasa za makelele na kufokafoka Mbeya (M) ziliisha 2020.
Ile project ya Elon Musk ya akili bandia ianzie kukamata takataka kama hizi za Lumumba ili kuzifanyia majaribio kwa lazima

Tulia siyo Rais wa Mabunge, labda hujui alichogombea na kupewa ni kitu gani.

Siku zote ukiona post wale G7 hawana time nayo elewa tu hiyo ni takataka tu.

Siku Mtanzania atakapopewa ukuu wa World bank au IMF basi hiyo ndio itakuwa habari.
 
Sawa Mr 2 aka Jongwe
 
Vijana wanaochipukia katika Siasa nchini wanapaswa kujifunza kutoka kwa Mheshimiwa Dr Spika Tulia, Ackson, LLD (Mbunge) na Rais wa Mabunge yote duniani (IPU).

Hakika sisi Wana Mbeya Mjini tunajisikia wenye bahati Sana kupata HESHIMA hii.

Tofaut na miaka mingi iliyopita, Mbeya Mjini tumepata Msomi na Kiongozi wa kweli anayepeperusha bendera ya Tanzania kimataifa.

NB: Siasa za makelele na kufokafoka Mbeya (M) ziliisha 2020.
kwa vijana wote, wanazuoni na wadada
 
Ni jambo ya fedhea sana tena sanaaa mtu mweupe kuumpa uwongozi mtu mweusi na mtu mweusi huyo kujisifia kwa watu wenye uwezo mdogo wakufikiri
 
Vijana wanaochipukia katika Siasa nchini wanapaswa kujifunza kutoka kwa Dr Spika Tulia, Ackson, LLD (Mbunge) na Rais wa Mabunge yote duniani (IPU).

Hakika sisi Wana Mbeya Mjini tunajisikia wenye bahati Sana kupata HESHIMA hii.

Tofaut na miaka mingi iliyopita, Mbeya Mjini tumepata Msomi na Kiongozi wa kweli anayepeperusha bendera ya Tanzania kimataifa.

NB: Siasa za makelele na kufokafoka Mbeya (M) ziliisha 2020.

Mfano gani huyu wewe. Huyu ni mtu mbinafsi na mpigaji sana. Wala hajali maslahi ya umma. Kama hujaelewa role yake kwenye ule mkabata wa bandari na dubai bora ukae kimya.
 
Vijana wanaochipukia katika Siasa nchini wanapaswa kujifunza kutoka kwa Dr Spika Tulia, Ackson, LLD (Mbunge) na Rais wa Mabunge yote duniani (IPU).

Hakika sisi Wana Mbeya Mjini tunajisikia wenye bahati Sana kupata HESHIMA hii.

Tofaut na miaka mingi iliyopita, Mbeya Mjini tumepata Msomi na Kiongozi wa kweli anayepeperusha bendera ya Tanzania kimataifa.

NB: Siasa za makelele na kufokafoka Mbeya (M) ziliisha 2020.

Uliwahi kusikia hotuba ya yule Mama Waziri Mkuu wa Barbados akihutubia kuhusu masuala ya Climate change. Wale ndiyo wanaweza kuwa role model at world level. Huyu wa kwako hata hotuba aliyoandika yeye mwenyewe inamshinda kusoma. Hapa nchini kuna akina Mama kama Rose Migiro na wengine wanaweza kuwa role models wa binti zetu lakini siyo huyo Spika wako mwenye ushabiki wa ajabu ambaye sijajua hapa nchini anatetea nini? Hapa tunayogombea ni world standard na siyo village standards.
 
Back
Top Bottom