KIKWETE na ushikaji wake, waiyumbisha Mwanza

Sikwamba Engineer Ndikilo hakupata kuwa na madaraka katka serikali ya ******, Huyu alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro, na ndiye aliyesimamia uchakachuaji wa Kura wakati wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010, uliompeleka bungeni Mteketa, kiukweli Mteketa alishindwa vibaya na Marehemu Regia Mtema.
 
ja tuwasubiri ikulu waje kukanusha.kurugenzi mawasiliano ikulu where are now.this is another serious a ligation
 
Sikwamba Engineer Ndikilo hakupata kuwa na madaraka katka serikali ya ******, Huyu alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro, na ndiye aliyesimamia uchakachuaji wa Kura wakati wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010, uliompeleka bungeni Mteketa, kiukweli Mteketa alishindwa vibaya na Marehemu Regia Mtema.

aksante mkuu kwa kutujuza. Awali niliamini hakushika madaraka lakini sasa umepanua uelewa wangu. lakini kuna haja ya kupinga nafasi za kuteuliwa na mwana siasa, kwani hutoweza kuzua ushabiki
 
Hata akina Vicky Kamata nao sasa ni habari ya Kitaifa?.
Huyu si ndiyo yule aliyekuwa anagongwa na kila aliyekuwa na chake mfukoni na zaidi yule jamaa ambaye ni marehemu aliyekuwa ofisi za Tra hapo Mza?.
 
Mkuu ni kweli Vick alisomeshwa nje na mkuu wa kaya,alisomeshwa nchini Uingereza ili aje kupewa hiyo post pale b.o.t,na hata wadadisi wa mambo pale B.O.T wanasema kua kesi ya Liumba mbali ya kua ilikua na wahusika wengi,ila ilishinikizwa yeye Liumba ni lazima afungwe kwa kua inasemekana alikula chakula ya mkuu (Vicky) wakati anaingia B.o.t,hao ndio aina ya viongozi wetu

NAsikia harudu ya Babu Seya!:yell:
 
This is a shame to President Kikwete and shame to CCM. By doing so, they are killing the party.
 
IKULU ya TZ imekua so cheap kama choo cha stand ukilipia senti/penzi ruksa kuwa juu ya sheria.
Hakika serikali ya CCM imedhamiria kuvuna kila kinachoonekana kinawafaa regardless nani anaumia.
Ukweli Serikali ya CCM imetufanya watanzania ni mandondocha.
Tolerance gives power.
 
Tujikumbushe upendeleo wa Kikwete katika kugawa nafasi.
1. Eng Rajab Rutengwe kapewa ukuu wa mkoa katavi ni jirani yake kule Msoga.
2. DVC Mlacha wa UDOM inasemekana wameoa kumoja
3. Said Mwema wa polisi inasemekana kuna kaushemeji
4. Sophia Simba, shemeji kwa KK
5. Rwekaza Mukandala UDSM alipiga tafiti za mfano wa ramli na redet yake kuelekea 2005
6. Shukuru Kawambwa, homeboy
7. Salva Rweyemamu, alitumika kumchafua mzee Salim na magazeti yake ili amsafishie njia swaiba

Wengine wanabodi ongezeni kwani orodha ni ndefu

DR.Batilda
Philipo Sanka Marmo.
 
Katiba mpya lazima iweke utaratibu wa kuwapata viongozi wa taasisi mbalimbali za serikali based on their competences, haya mambo ya ukuwadi kumuwezesha mtu kuwa mkuu wa mkoa yakome. Kuna Mzee Salim na Prof Beregu pale huenda wakatusaidia. Ila JK lazima aje kushtakiwa kwa uharibifu wote uliofanyika chini ya utawala wake hata kama atakuwa mzee kama Pinnochet
 
Tujikumbushe upendeleo wa Kikwete katika kugawa nafasi.
1. Eng Rajab Rutengwe kapewa ukuu wa mkoa katavi ni jirani yake kule Msoga.
2. DVC Mlacha wa UDOM inasemekana wameoa kumoja
3. Said Mwema wa polisi inasemekana kuna kaushemeji
4. Sophia Simba, shemeji kwa KK
5. Rwekaza Mukandala UDSM alipiga tafiti za mfano wa ramli na redet yake kuelekea 2005
6. Shukuru Kawambwa, homeboy
7. Salva Rweyemamu, alitumika kumchafua mzee Salim na magazeti yake ili amsafishie njia swaiba

Wengine wanabodi ongezeni kwani orodha ni ndefu

mkuu mbona umeviacha vile vipulizo anavyo,click????
 
ccm chama cha mashemeji,mahawara, na undugu.hata mgombea wa ccm jimbo la kawe 2010.ni hawara wa makamba.mama Minde aliyegombea moshi mjini 2005 ni shemeji wa mkapa
Heh heh hapo penye wekundu du mzee Makamba na uzee ule anavuta lile dabo difu du hawa wazee bana,huyu mama mume wake alikuwa mwandishi wa habari za kiuchunguzi ,kweli mr wake kashindwa kung'amua kuwa mali yake inaibiwa pamoja na kusomea mambo ya uchunguzi,hakika siasa si mchezo,au ndio funika kombe mwanaharamu apite
 
Hivi Ocampo hawezi kuja mpaka 2016?kabisa inatia shaka kama watawara hawa wawili BWM na JMK hawawezi kushitakiwa na Ocampo!
 
CCM wanafikiri kama wafuasi wa Gadaff, hawakudhani kama anaweza kuondolewa madarakani. One day, YES One day CCM will R.I.P
 
Hata akina Vicky Kamata nao sasa ni habari ya Kitaifa?.
Huyu si ndiyo yule aliyekuwa anagongwa na kila aliyekuwa na chake mfukoni na zaidi yule jamaa ambaye ni marehemu aliyekuwa ofisi za Tra hapo Mza?.

kweli kabisa
 
Heh heh hapo penye wekundu du mzee Makamba na uzee ule anavuta lile dabo difu du hawa wazee bana,huyu mama mume wake alikuwa mwandishi wa habari za kiuchunguzi ,kweli mr wake kashindwa kung'amua kuwa mali yake inaibiwa pamoja na kusomea mambo ya uchunguzi,hakika siasa si mchezo,au ndio funika kombe mwanaharamu apite

Huyo unaemsema sio mume wa hilo double difu bali ni BABA yake mzazi!!
 
Back
Top Bottom