KIKWETE na ushikaji wake, waiyumbisha Mwanza

Anahusika kwa yote mabaya yanayoikumba nchi, kwani ndiye mwekiti wa baraza la mawaziri. maovu yote yanayofanywa na mawaziri wake ndiye kayabaliki, ndio maana LOWASA alilalamika kutoswa kivile.

Jana GEITA wananchi wamechoma gari la GGM, ni kutokana na mgodi wa walala hoi kufungwa na kukabidhiwa GGM. Mpaka wasukuma wanaandamana wazee wa ntu tabhu, ujue ukombozi uanawadia

Nikupe LIKE mkuu, hadi uone msukuma ameamua kuchukua sheria mkononi basi hali si shwari tena!
 
Wana jamvi habari zenu.

Nimekuwa nikitafuta majibu ya kwa nini CCM na CHADEMA kutunishiana misuli na kufikia hatua ya kutangaza vita baina yao. Sasa nimeanza kufahamu kwa nini hali iko hivi mkoani mwanza. Ifuatayo ni dondoo kuihusu mwanza.

Mnamkumbuka VICKY KAMATA? Huyu mdada alifanikisha kampeni za KIKWETE 2005 kwa kiasi kikubwa na hata 2010 pia alimtangaza J.K. Awali tulijua anawinda VITI MAALUM, na nadhani alifanikisha hilo kupitia jimbo moja huko geita kwa walima nanasi.

Baada ya J.K kushinda, tayari walianza mahusiano yaliyopelekea VICKY kusomeshwa na mkuu wa kaya sijui nchi gani huko uzunguni, na mara baada ya kurejea nchini, alipewa tuzo ya kuwa AFISA MAHUSIANO BoT, kazi ambayo ni kubwa mno.

Mara baada ya kupewa tuzo hiyo, na kwa kuwa mzee ana bofya, mapenzi yakazaa haramu nyingine ya J.K. Kwani VICKY KAMATA alihakikisha mjomba wake naye kupitia penzi analogawa kwa J.K anapata matunda yake. Kwani baada ya mda kidogo, kikwete alimtangaza Eng. Ndikilo kama sijakosea jina lake kuwa mkuu wa mkoa wa Mwanza, kazi ambayo hajawahi kuifanya japo hata kupitia ukuu wa wilaya, wachunguzi wa mambo wanasema hajapitia labda mwenye info zake atujuze.

Kwa kuwa huyu eng. ni mgeni kwenye utawala cheo ambacho tunakipigia kilele kife, amekuwa akitanguliza siasa mbele hata pale panapohitaji busara zaidi. Wakati CCM wanahitimisha kampeni zao, walikiuka baadhi ya mambo, hasa kibali cha kuendesha mkutano wao na sehemu waliyokuwepo.

Kwa kiburi na ulevi wa madaraka, waliamua kuziba njia huko mwembe sangara, na POLISI ILEMELA walipo gundua hilo, walienda kuwazuia kuendelea na mkutano wao kinyume cha sheria. Kilkichotokea pale yalikuwa ni majibizino kati ya polisi hao na makada wa CCM, mwisho TEGETE baba mzazi wa JOHN aliwatamkia POLISI KUWA WAO NDO WENYE NCHI WATAWAVUA VYEO VYAO.

Ndipo CCM walipo AMUA KUJULISHA KWA ENG. MKUU WA MKOA, kuwa POLISI imewafanyia fujo. Naye pasipo kufikiri, akaagizwa wakamatwe na wawekwe loc up viongozi wa jeshi la polisi wilaya ya ilemela. CCM walidai kuwa wakati wanatimuliwa kuondoka, bendera yao ilichanwa na POLISI na kumtaja mtu mmoja anafahamika kama Insp. Boke, na viongozi wengine walizishusha bendera zao.

POLISI hao hawakukamatwa wala hawajawekwa lock up, ndipo makada wa CCM haijajulikana nani aliandika kati ya mkuu wa mkoa na hawa CCM wengine wa Mwanza, wakaandika ujumbe mfupi wa maneno kwa KIKWETE wakituhum POLISI Mwanza kushindwa kuwachukulia hatua polisi ILEMELA waliochana bendera za CCM na wakaongeza kuwa POLISI MKOA wa Mwanza ni wafuasi wa CHADEMA kwani wanakipendelea CHADEMA. Na kitendo cha CHADEMA kushinda udiwani KIRUMBA, ilikuwa kama ushahidi kwao kuwa polisi inawapendelea CDM.

Sasa nasikia tume imeundwa kuchunguza kama kweli POLISI walichana bendera za CCM, tume hii imepingwa vikali na watu mbalimbali kuwa haiwezekani mtuhumiwa polisi achunguzwe na polisi mwenzake. tusubiri tuone yatakayo tokea.

POLISI KATIKA WAKATI MGUMU.

Kwa ninavyoona, POLISI MWANZA, wako katika wakati mgumu sana, kwani kwa sasa wanatuhumiwa na pande mbili yaani CCM na CHADEMA.

CHADEMA walikuwa wa kwanza kuilalamikia POLISI baada ya wabunge kudundwa na wanaodhaniwa kuwa ni wafuasi wa CCM usiku wa kuamkia siku ya uchaguzi.

Na CCM wanaituhum POLISI kushindwa kuwakamata makada wa CHADEMA waliowashambulia makada wa CCM usiku wa kuamkia siku ya kupiga kura. Madai haya ya CCM ni mapya kabisa, yametokea baada ya siku tano kupita.

my take.
1. Hizi kazi za kupeana kwenye katiba mpya zifutwe. kwani madhara yake ni mtu kuona yuko juu ya kila kitu na huondoa busara katika kutenda mambo mbalimbali.
2. Pamoja na kwamba jeshi haliaminiki, tuliache lifanye kazi yake na kuipa ushirikiano wa hali ya juu sana.
3. Nawaomba viongozi wa serikali kuu mwanza, polisi mwanza, viongozi wa siasa na wanasiasa mwanza, viongozi wa dini, watu maarufu na wadau wengine, wakutane, wakae pamoja na kurekebisha tofauti zao ili tuanze kuijenga mwanza yetu.
4. Wananchi, matamko ya wanasiasa tunao wapenda, tuyachukue na kuyaweka katika mizani ya kutafakari kwa kina, ili utendaji wetu usije kutuhukum baadae kwa kukurupuka. ikumbukwe kuwa kama yatatokea machafuko, ni sisi laymen & women tutako athirika zaidi. masema haya kwani tayari CCM na CHADEMA wametoa masaa kadhaa kwa POLIS na kama hawatatekeleza matakwa yao, wataingia mtaani kutaufuta wabaya wao ambapo vipigo ndivyo vitakavyo tawala.

n,b usiniulize source plz

Hivi Saloon yako kike bado ipo pale pale Mabatini? Kesho njoo tena na udaku mwingine utuandikie huu hauna nguvu tena.
 
hivi Vick Kamata alimpataje jk nataka nijue techniquealizotumia na mimi nizitumie na niziboreshe zaidi maana hata na mimi jk namtaka
 
Hatuna rais! Hiyo ya Vick Kamata inafahamika hata kwetu huku kijiji cha mubuhenge ngara, nashangaa kwa wajanja JF inaonekana kama news!
 
Hata akina Vicky Kamata nao sasa ni habari ya Kitaifa?.
Huyu si ndiyo yule aliyekuwa anagongwa na kila aliyekuwa na chake mfukoni na zaidi yule jamaa ambaye ni marehemu aliyekuwa ofisi za Tra hapo Mza?.

yupi wa tra, wengine tumeingia jijini si mda mrefu mkuu
 
hivi Vick Kamata alimpataje jk nataka nijue techniquealizotumia na mimi nizitumie na niziboreshe zaidi maana hata na mimi jk namtaka

aliimba nyimbo za kuifagilia CCM kwenye uchaguzi uliomweka J.K Kilingeni
 
Mkuu ni kweli Vick alisomeshwa nje na mkuu wa kaya,alisomeshwa nchini Uingereza ili aje kupewa hiyo post pale b.o.t,na hata wadadisi wa mambo pale B.O.T wanasema kua kesi ya Liumba mbali ya kua ilikua na wahusika wengi,ila ilishinikizwa yeye Liumba ni lazima afungwe kwa kua inasemekana alikula chakula ya mkuu (Vicky) wakati anaingia B.o.t,hao ndio aina ya viongozi wetu
Alikuwa anasoma nchini uingereza katika chuo kikuu kinachoitwa Southampton. Kwa bahati mbaya alikuwa anaendekeza sana starehe, na hivyo hakumaliza chuo; akamdanganya mkuu wa kaya, akamtumia hela nyingine, akajoin vyuo vya machakani vya kusoma mwezi mmoja sijui miwili akatunukiwa cheti. Sina uhakika kama cheti alichonacho kina jina la Southampton au hicho chuo kingine alichokimbilia baada ya kushindwa kumaliza Southampton.
 
Alikuwa anasoma nchini uingereza katika chuo kikuu kinachoitwa Southampton. Kwa bahati mbaya alikuwa anaendekeza sana starehe, na hivyo hakumaliza chuo; akamdanganya mkuu wa kaya, akamtumia hela nyingine, akajoin vyuo vya machakani vya kusoma mwezi mmoja sijui miwili akatunukiwa cheti. Sina uhakika kama cheti alichonacho kina jina la Southampton au hicho chuo kingine alichokimbilia baada ya kushindwa kumaliza Southampton.

shame on CCM NA BABA YAKE tegete
 
hivi Vick Kamata alimpataje jk nataka nijue techniquealizotumia na mimi nizitumie na niziboreshe zaidi maana hata na mimi jk namtaka

Mfufue marehemu Mpakanjia yeye ndiye aliyemkutanisha Vicky na Jk. of course alimla kwanza mbele na nyuma ndipo akampasia waziri wa mambo ya nje ambaye baadae akawa rais.
 
JF sasa mnaaribu sifa ya forum kwa kushabikia majungu yasiyona ukweli.Eng Ndikilo kabla ya kuwa mkuu wa mkoa wa mwanza alikuwa mkuu wa wilaya ya kilombero na alifanya kazi nzuri sana yeye na mwenzake Dr.Rutengwe ya kuifanya moro kuwa ghala la taifa la kuzalisha chakula yaani FAMOGATA na kufanikiwa kuuweka mkoa wa morogoro kwenye mikoa yenye kuzalisha chakula kwa wingi.walipelekwa pale kwa shughuli hiyo,Pinda alipofanya ziara wilaya ya ulanga na kukuta mashamba yamelimwa kisasa alimchukua DC wa Ulanga Dr Rutengwe ambaye ni mtaalamu wa kilimo na kumhamishia kwake mpanda.Vick Kamata kabla ya kwenda BOT alisomea Mass communication SAUT na baadae kwenda UK kusomea masters.post aliyostahili kuipata kutokana na qualification zake ni hiyo aliyoipata.ACHENI MAJUNGU
 
ya VICKY KAMATA nadhani imevunja rekodi. from no where to BoT PUBLIC RELATION OFFICER? Kweli?

Kammwonesha mzee wa kaya jinsi CHAKULAGHA inavyochezwa kumbe ile ngoma ya pwani si lolote ni kumtoa mwali tu wakati hii nyingine ni kumkabidhi mwali!!!!
 
Back
Top Bottom