First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,310
- 1,473
huyu ni Rizifirst wa mrembo wa Bwaga heart.we nae Obama wanini? Wao hawana mgao wa umeme,we vp? We ni januar makambako nin?
huyu ni Rizifirst wa mrembo wa Bwaga heart.we nae Obama wanini? Wao hawana mgao wa umeme,we vp? We ni januar makambako nin?
Ingependeza zaidi kama maoni hayo ungeyaelekeza kwake moja kwa moja, mtumie message kwe FB yake.naomba nipate ufafanuzi juu ya mapicha mengi sana anayoweka kikwete kwenye face book yake!naomba nijue kama inaweza kuleta tofauti katika mataizo tuliyo nayo,naomba nijue anapata wapi muda wa kukaa kwenye facebook kwa muda mrefu hivyo na kudownload mipicha hiyo,naomba nijue tunaonekana vipi kwenye nchi za wenzetu kwa hilo la mapicha.