Kikwete na mipicha kibao facebook

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
naomba nipate ufafanuzi juu ya mapicha mengi sana anayoweka kikwete kwenye face book yake!
naomba nijue kama inaweza kuleta tofauti katika mataizo tuliyo nayo,
naomba nijue anapata wapi muda wa kukaa kwenye facebook kwa muda mrefu hivyo
na kudownload mipicha hiyo,
naomba nijue tunaonekana vipi kwenye nchi za wenzetu kwa hilo la mapicha.
 
Ina maana ujajua kwamba JK ni muuza sura!!!??
 
Ina maana ujajua kwamba JK ni muuza sura!!!??

Vipi na hii ipo??

images
 
anaona facebook ndio mkombozi???veyr good lesson for our country!
 
Mimi mwenyewe simuelewi Mpgie umuulze alishatoa namba yake. Kama hauna i'google itakuja link from Mwanahalisi
 
mbona hamna tatizo....kama jama alivyosema hapo juu...kuna vijana wafanya hizo kazi... FB inatumiwa na watu lukuki, so u never know waht people want,...give them variety and they choose themselves..
 
Kuna watu waliajiriwa maalumu kwa kazi hiyo, na sidhani kama kuna tatizo lolote!
 
Vipi na hii ipo??
images
Hiyo ndoa ya wanaemwita mdogo wake Yusuph K (ingawa kimtazamo jamaa ndo anaonekana kaka)iliyofanyika ikulu ndogo ya Bwaga Moyo. Ndo nikuulize kama yeye kazi ni kuzavey kwenye maraha huko kitabu cha uso ataenda lini? Na hata kama anawafanyakazi lakini una uhakika gani kuwa watamfikishia ujumbe kwa uzito kama ambavyo angeenda mwenyewe?
 
Back
Top Bottom