Kikwete na mipicha kibao facebook

Vipi na hii je ipo?
dance+kikwete.jpg


hii inaonekana imekaa sivyo hawezi kuweka
 
Hata mimi huwa nashangaa mpk zingine za dhuhaka.wnatoa kichwa cha mwanamke mrembo na kupachika kichwa chake kwa huyo demu.nadhani watu wameiona na hiyo pia....
 
naomba nipate ufafanuzi juu ya mapicha mengi sana anayoweka kikwete kwenye face book yake!naomba nijue kama inaweza kuleta tofauti katika mataizo tuliyo nayo,naomba nijue anapata wapi muda wa kukaa kwenye facebook kwa muda mrefu hivyo na kudownload mipicha hiyo,naomba nijue tunaonekana vipi kwenye nchi za wenzetu kwa hilo la mapicha.
Ingependeza zaidi kama maoni hayo ungeyaelekeza kwake moja kwa moja, mtumie message kwe FB yake.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom