Kikwete na mawaziri kadhaa kuzuru Muscat Jumatatu 15, Oktoba 2012

Vasco Da gama ameenda kutafuta hifadhi kwa sultan wa Oman...
Anaisoma M4C......2015 sio mbali.Hawezi kuishi Bongo,amewasaliti EL,AC na RA.
 
Amepokelewa na mfalme wa Omani hebu juzeni nyuma ya pazia kuna nini ni safari kama zingine za kiserikali, kitalii kweli niondoeni mashaka niliyonayo kuhusu hii safari hasa katiba mpya na issue ya OAC

2lia ndg mbona unamawenge asiende uarabuni ushaanza yako ya udini mbona yupo na maMps una wenge la nn hiyo sio mikataba ya kisiri kama ufisadi wa mawaziri waTz angekua kaenda kusign taarifa zingeshapelekwa kwanza UN na ungezipata kwenye vyombo vya habari .
 
Kweli hii ni too much jamani!!

Hata kama ni Urais, huu sasa ni kupitiliza!! Hivi kweli Rais hawezi kukaa ofisini kwake (magogoni) hata kwa wiki moja tu!! kila wiki safari safari, hatulii!!!

Leo tena yuko Oman kwa ziara!!

This is too much!!

Please Serikali yetu be fair to your cetizens, hizi safari za Rais wetu zinatutesa sana kikodi na kimaendeleo.
 
Nimemuona anashangaa kasri la watu, macho juujuu kama kakosa usingizi. Mtakoma na kodi zenu
 
Ni kweli hata mimi nimemuona itv anashangaa kwenye kasil ya mfalme mbaya zaidi yuko na msururu wa mawaziri hivi wamenda kufanya nin? Kweli sasa safari hizi ni kero
 
Wale jamaa wamemtupa kwenye kasri kwanza ashangae. Pale wakimpa mkataba anaweza kusain bila hata kuusoma. Hili balaa.
 
Nimemuona anashangaa kasri la watu, macho juujuu kama kakosa usingizi. Mtakoma na kodi zenu

Duh ,Mkuu kumbe umemuona !!! Nimecheka sana walivyokuwa wanashangaa pamoja na waziri wake wa nje.
Jiskilizie bajeti ya kukarabati ikulu mwakani .
 
..Rais saivi kaamua kutukomoa..sawa..naskia saivi anakaa na ramani ya dunia halaf anafumba macho..nchi atakayogusa tu..kesho yake anaandaliwa safar..
 
Askofu kilaini ajitokeza hadharani aombe radhi kwa kuwadanganya watanzania kuwa Vasco Da Gama ni chaguo a mungu.
 
Kuna mtu alishawahi kupost hapa kuwa mbona Rais haendi nchi za kiarabu na Asia..sasa ndo kafungulia mtamjua ****** ni nani..!!kama Popo vile usiku..!!
 
Duh ,Mkuu kumbe umemuona !!! Nimecheka sana walivyokuwa wanashangaa pamoja na waziri wake wa nje.
Jiskilizie bajeti ya kukarabati ikulu mwakani .

Hapo ndipo nilipojiuliza kama Kikwete atakuwa na nafasi tena ya kujadili kitu cha manufaa kwa nchi.Nilipoona nikajua Kikwete amekuwa distracted na atakuwa mdogo sana na mwishowe atachomekewa kitu kidogo tuu akiulizwa vipi Zanzibara ya watu?Kama kawa ajibu litakuwa inshallah.
 
Back
Top Bottom