Kikwete na mawaziri kadhaa kuzuru Muscat Jumatatu 15, Oktoba 2012

jana niliona kwenye taarifa ya habari ITV niliona mkuu wa nchi yaani rais wa jamhuri ya muungano waTANZANIA Jakaya mrisho kikwete yuko ziarani OMAN kilichonishangaza rais alikuwa akishangaa jumba la mfalme wa oman jinsi lilivyorembwa dhahabu kwakweli ilitia aibu kwa ulimbukeni wa viongozi hawa,wote walionekana kushangaa membe nae alionekana kushangaa tu.sasa swali la kujiuliza hiki ndiyo kibaba ambacho rais anasema anakwenda kukihemea kwenye nchi za wenzetu?bahati nzuri nchi yetu imebahatika kuwa na almasi,dhahabu,na madini ya kila aina sasa kama rais anatengeneza ziara za kwenda kushangaa marumaru za ikulu ya mfalme wa oman si atengeneze na kwake ili akae nyumbani kuliko kutuaibisha?NAWASILISHA
 
Back
Top Bottom