watanzania woote hao wote wanamuonea wivu..?? ujinga kweli ni mzigo!kumuita Kikwete DHAIFU nakataa. Mnamwonea wivu, na kwa matusi yenu mtamlipa kesho kwa mungu.
kumuita Kikwete DHAIFU nakataa. Mnamwonea wivu, na kwa matusi yenu mtamlipa kesho kwa mungu.
Duuuuuh! hayo mapembe kwenye huo mlango nyuma ya Dr.Namala niaeje? Kwa kweli JK ni Freemason, mwanga wa Bagamoyo.
Nani anmuonea wizu bwana zaifu..............ama kweli wewe sasa ni dhaifu squared.
Mie ni DHAIFU na Serikali yangu haina uwezo wa kutimiza kile mnachokitaka. Naomba mnielewe hivyo.