Kikwete na Madokta Ikulu: Weka maneno

Hiyo pembe juu kwenye mlango nyuma ya madaktari nadhani ni mojawapo ya kazi za Mh. profesa maji marefu.Je tutegemee ikulu kuwajari madaktari kweli?
 
8E9U2768.JPG
Wakuu,hapa Dr.Ulimboka ndo yupi?
 
Hakuna hata daktari mmoja wa muda mrefu....mabingwa hawatokei kwanini JK asiwa'''zarau''' hawa vijana?
 
'' Nyie madaktari si mna kiapo chenu kuwa mahitajio na maslahi ya mgonjwa ni kitu cha kwanza ?? Sasa imekuaje hamuwapi hao wagomjwa huduma ipasavyo mpaka mpate chochote kuotoka kwao ? hamjui kuwa hao ndio walipa kodi na ndio waajiri wenu ? na sasa mnazidi kuwatukana kwa kuomba ziada ya mishara. ebu fikirieni wenyewe manayo fanya ni mazuri ? acheni uroho na rudini kewenya kiapo chenu kwanza kabla hamjalalamika kuhusu mishahara . Haya nendeni mkafanye kazi na acheni upuuzi wenu''
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom