Kikwete, Mkapa na Mwinyi nani mfupi kati yao?

Kwa kuangalia kimo hapa kwenye picha, nimeona
Mzee Mwinyi ndie mfupi kuliko hawa wenzake,
Mzee Mkapa ni mrefu zaidi ya Mzee Mwinyi, lakini ni mfupi kwa Mzee Kikwete
Na Mzee Kikwete ni mrefu kwa kimo kuliko wenzake hapa

Asante kwa mchango wako, lakini ungetusaidia zaidi aina ya kipimo ulichotumia kubaini tofauti ya vimo vyao ili nasi tujaribu kulinganisha na vipimo vyetu hadi baadaye tupate aliye mrefu wa kweli kati yao.
 
Back
Top Bottom