Kikwete kuondolewa uenyekiti CCM

Status
Not open for further replies.
Mpango kabambe wa kumvua kikwete kofia ya chama umeiva, mpango huu unaongozwa na vijana. Wana CCM tegemeeni mabadiliko makubwa

kaka tumia akili katika siasa unapopambana na jk ebu fikiria sijui kama unafahamu watu kama el hatakuwa tena mjumbe wa nec je unalifahamu hilo ? na ukiwauliza kina mwinyi jamaa wanamkubali kwa mikakati slowly but sure
 
Jaribio la Zitto kabwe alipotaka kumng'oa Mbowe kwenye nafasi yake ya uenyekiti lilishindika na kuthibitiwa ndio itakuwa CCM kumng'oa JK!!!!!!!!!!!!
 
kaka tumia akili katika siasa unapopambana na jk ebu fikiria sijui kama unafahamu watu kama el hatakuwa tena mjumbe wa nec je unalifahamu hilo ? na ukiwauliza kina mwinyi jamaa wanamkubali kwa mikakati slowly but sure

Sasa mkuu kweli Mwinyi nae ni wakumuuliza na akakukubalia ukajiona uko sahihi kabisa?EL anakubalika sana ndani ya wajumbe wa Nec,na ana nguvu mno ndio maana kumvua gamba inakua issue,na mbaya zaidi kwa c.c.m wewe unamuona nani ni msafi kiasi cha kumnyooshea kidole mwenzake?wote wamechafuka mkuu
 
Hata zitto kipindi alipothubutu kumpima ubavu mbowe alikua na nguvu kwenye nec lakini unajua kilichotokea?jina lake halikufika huko nec,walimchinjia baharini
 
The biggest ever mistake done by J.K was to chess away Pro. Mangula as CCM Chairman...hapo JK kajamb.ia jivu na lishatawanyika....let him go!!
 
Chama Hiki kimekosa viongozi wanoweza kushika hatamu, CCM imepoteza Dira.
 
Hata zitto kipindi alipothubutu kumpima ubavu mbowe alikua na nguvu kwenye nec lakini unajua kilichotokea?jina lake halikufika huko nec,walimchinjia baharini

pointi yangu hapa ni jinsi ya kucheza karata zake kama mwenyekiti labda niwape kidogo hivi sasa wabunge wote wa ccm hawatakuwa wajumbe wa halmashauri kuu yao ya taifa yaani nec akiwemo el na hii inakujaje ? ukiwa nje ya nec kupanga mkakati ni ngumu ndo maana nasema jk katika siasa ni smart
 
kama hilo litawezekana itakuja ni jambo jema
 
Wachumia tumbo wote, ukiwa ccm akili yako inakuwa haiko sawa kwani hata penye ukweli dhahiri unatakiwa ukanushe vikali...GO ROT IN HELL CCM
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom