Amiliki
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 2,085
- 1,004
Amegundua lini kwamba Udini ni mbaya! Mbona hakukemea kipindi cha Uchaguzi mkuu 2010, pamoja na magazeti ya Annur na Radio
Iman zilivyojitokeza wazi kuwataka Waislam wasimpigie kura "Padri" Slaa na wampigie yeye kwa sababu ni Muislam, ni mpaka ulipopita? Mbona hakukemea wakati wa Uchaguzi mdogo wa Igunga?
Sasa hivi ameshaona alichokifuga kwa faida binafsi ya kisiasa kimekuwa na kuota mapembe na kutishia utawala wake ndio anakuja na ngonjera za kichina hapa! Atulie tu anyolewe kwani wembe kaununua mwenyewe!