Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,478
- 39,997
- Thread starter
- #21
bwahahahahaha, nilizimia sana jinsi ulivyomuingiza "kingi la nguvu" bwana Kuhani!
Unaweza hata kuanzisha dini, ukasema wewe mtume/mungu...na watakuwepo tu wakina "macho juu" watakaokufuata!
ndio bongo yetu hiyo.....
"with great power, comes great responsibility" somebody said that; I would add "with great persuasive power, comes great responsibility". Ni kwa sababu hiyo watu lazima wapime maneno yao vizuri sana na kuyatumia vizuri. Kuna watu wanahitaji wafuasi mimi si mmoja wao; Kikwete anahitaji wafuasi watakaomfuata no matter what the song; wako kama yule mpiga filimbi wa Hamelini.
Sasa mimi sina nguvu na uwezo walio nao wanaojiona miungu kuhukumu watu wengine na kujua ni za mioyo yao.