Kaka hufuatilii mambo? DOWANS kuvunjiwa mkataba (pamoja na madai ya wananchi wengi kudai uvunjwe) ulivunjwa kwa kuwa kulishaonekana mwanya wa kupata fedha zaidi kuliko ungesubiri kumalizika time. TANESCO walipokata rufaa swala la ufake wa Richmond halikuwasilishwa mahakamani ili DOWANS wapate mwanya wa kushinda na ikawa. Mwanasheria wa TANESCO alikuwa mwajiriwa wa Rostam (Voda) hadi miezi kadhaa iliyopita sawa na Waziri wa Wizara hiyo kabla ya kuingia Bungeni. Ndiyo maana Ngeleja alikuwa wa kwanza kushangilia malipo mapya ya DOWANS na sasa inadaiwa bado TANESCO wanaweza kukata rufaa kupinga kufanya malipo hayo jambo ambalo litawaongezea ulaji watakaposhinda mwishoni. Hujui serikali yetu kwa maana ya wakubwa wanapata zaidi DOWANS ikishinda kesi kuliko ikishindwa?
Very interesting riwaya..
Basi mzembe ni Wilson (CEO) wa Tanesco ambaye anashindwa kutoa ushauri wa kitaalamu wa ku-solve hilo tatizo..
Tuanze kuchunguza uzalendo wake kwa wananchi na Taifa..au unasemaje?