Kikwete: I may be having a smiling face but am firm on issues

Siyo kweli,

Nazungumzia Mramba, Yona, Mgonja, Liyumba et al. JK hana muda na hizo dili mkuu..

Wakishindwa kutiwa hatiani tuwabane uzalendo wa wanasheria wetu si JK..

Wamefungwa miaka mingapi vile? au wamelipa faini Tsh............. tutajie........Lowassa alifukuza na JK au aliamua mwenyewe.............hadi sasa unajua aliyeibariki Dowans tena kwa simu? Pia hujui kuwa manbo aliyoyafanya Jk ni wajibu wake wewe unamkweza.....wakati ni wajibu wake..........kipi kipya.
 
kwetu waelewa wa fasihi tumekuelewa vizuri mtoa mada kwa satire yako. na ni kweli tupu uliyoyasema. mwenye akili timamu asemapo yuko 'firm' kwenye issues humaanishwa issues positive za jamii sio mabomu!
 
Vipi kuhusu mgogoro wa kisiasa Zanzibar mfupa uliowashinda wengi

Vipi kuhusu kuwapeleka Mahakamani Mawaziri na Katibu wakuu mfupa uliowashinda wengi..

Vipi kuhusu .....

1. Mgogoro wa 'nchi' ya Z'bar umeongeza mgogoro kikatiba. Nakushauri upitie katiba ya JMT na ya Z'bar. Kufunika bomu lililokwishawashwa utambi, si dawa ya kuzuia lisilipuke.

2. Suala la Waziri na Katibu ni kiini macho au sinema ambayo ina matukio ya hatari na vifo lakini staring hauawi. Hizo ndiyo siasa za bongo na utawala wa kimbayuwayu.
 
The Analyst.....
unatakiwa uandike kitabu kuhusu utawala wa JK.......
sijui title utaaiitaje....lol
Mimi ningeiita hivi ''Watanzania na Nyota Iliyofifia Kizani''. Maana huyu bwana alianza kwa kushine kweli na matarajio ya watanzania wengi (Isipokuwa Mimi) walidhani kwamba mwisho wa mateso yao umefika. Yaani alionekana kama Mussa kwa wanaisraeli waliokuwa utumwani Misri.
 
Good na hiyo nalo tatizo la JK mkuu?

Inaonyesha ni tatizo la taifa na watu wake wote...tufanyeje?

JK peke yake hawezi ku-solve ulaji wa kila mwananchi ambaye anajiita MSOMI..

Nchi hii inaliwa na wanaojiita wasomi..sisi watu informal sector..mmmh

Mkuu President ndio anaeweza kuongoza nchi yake iende anakotaka iende.. Akitengeneza mfumo mzuri wa uwajibikaji hakutakuwa na kelele nyingi kama zilivyo sasa.. Kwa mfano wananchi wanalalamika kuuzwa kwa open space.. na pamejengwa kituo cha kuuzia mafuta.. Raisi ambae anasimamia uwajibikaji akipata taarifa zile atawawajibisha wote waliohucika na uuzwaji wa kiwanja kile.. Maana yake hapo hakuna kiongozi mwingine awe mtendaji au wa kisiasa ambae atakuwa tayari kuuza eneo la wazi.. Lakini hata akipata habari lkn bado hakuna hatua zinachokuliwa maana yake na wengine wataendelea kuuza viwanja vya wazi..
 
Wakati akihutubia ufunguzi wa bunge la awamu ya nne, Mheshimiwa Rais alitumia fursa hiyo kuwaonya watendaji serikalini na akawahakikishia kuwa, ''I MIGHT BE WEARING A SMILE BUT IT COULD BE VERY DECEPTIVE........ I'M FIRM ON ISSUES''

Kwa maoni yako, miaka saba leo hii imetimia; je? Mh Rais amemudu kui-ishi kauli yake hiyo?
 
"Firm on issues" zipi? Muongo mkubwa, dhaifu na goigoi wa hali ya juu.
 
I believe in his statement and I've seen his firm stand on some issues where other leaders could have fallen short and falter. JK is a strong president, that's why he survived a second term in office. Think twice, I bet he'll finish stronger than many wishful thinkers perpetuate!!! Long live President Kikwete!!!
 
wakati akihutubia ufunguzi wa bunge la awamu ya nne, mheshimiwa rais alitumia fursa hiyo kuwaonya watendaji serikalini waliodhani ni kuwa yeye ni [ dhaifu] eti ni mtu wa [ kuchekacheka] na akawahakikishia kuwa, ''i might be wearing a smile but it could be very deceptive........ I'm firm on issues'' kwa maoni yako, miaka saba leo hii imetimia, je? Mh rais amemudu kui-ishi kauli yake hiyo?

kumbe mwenyewe alijua toka zamani kuwa ni dhaifu? Sasa huyu ndugai anatetea nini wakati bosi wake anajifahamu kuwa ni dhaifu ingawa aliahidi kubadilika na ameshindwa?
 
Rais kama binadamu hawezi kuwa imara kwa kila jambo, mathalan, Mbowe kaonyesha udhaifu kwa kumshughulikia John Shibuda je tukimpa nchi ataweza kuwamudu wanasiasa aina ya shibuda.
 
Firmness with real Character isn't something created by speaking it out!!! :hand:

It all depends on how you related to A father figure in your early life! The President somewhere somehow had incompleteness with the father figure!! To a Man, this being the case there is no way you can avoid being inclined to famine quality (mom quality in real issues ...). This Man will be void the ability to attended to TOUGH LOVE, which is the only motivating force to face the TOUGH AND THE IMPOSSIBLES. BECAUSE TOUGH LOVE IS, DO THE IMPOSSIBLE ... DO WHAT MUST BE DONE...!!

This National now is TOTALLY CONFUSED, WEAK, FEEBLE AND WIMPY because is missing this TOUGH, FATHER LIKE LOVE AT THE PRESIDENTIAL LEVEL AND HENCE ALL THE WAY DOWN ...:sleep:
 
I believe in his statement and I've seen his firm stand on some issues where other leaders could have fallen short and falter. JK is a strong president, that's why he survived a second term in office. Think twice, I bet he'll finish stronger than many wishful thinkers perpetuate!!! Long live President Kikwete!!!
Brother don't disgrace yourself and the name younhave picked in your Avatar. Result of Elections in our political set up is not the sign of Kikwete being a strong Leader. Wake up and see the reality of the time.Being a President is more than being popular at any time.
 
Wakati akihutubia ufunguzi wa bunge la awamu ya nne, Mheshimiwa Rais alitumia fursa hiyo kuwaonya watendaji serikalini na akawahakikishia kuwa, ''I MIGHT BE WEARING A SMILE BUT IT COULD BE VERY DECEPTIVE........ I'M FIRM ON ISSUES''

Kwa maoni yako, miaka saba leo hii imetimia; je? Mh Rais amemudu kui-ishi kauli yake hiyo?


Daah naikumbuka sana hiyo kauli yake akiwa bungeni. Sidhani hata kama alikua anaelewa anasema nini na ndio maana mpaka leo zaidi ya kila kitu amehifadhi majina ya wafanyabiashara wa madawa ya kulevya. How sad!
 
kusema ni rahisi sana
Hasa kwa JK; with a smile! kwenye kutenda hapo hamna kitu. utendaji wake unaonekana kwenye misafari mingi kupita kiasi na ndo maana hata fungu lake la usafiri limeibwa. jamaa wameona watumie njia hiyo kumpunguzia safari; wapi! si atazichota hazina tu!
 
Back
Top Bottom