Kikwete awateua Prof. Sospeter Muhongo, Janet Mbene na James Mbatia kuwa wabunge

Hongereni sana wabunge wapya. Anaweza akawapa uwaziri kama watakuwa hawajaapishwa kuwa wabunge?
 
Thanks Invisible:

Sospeter Muhongo: Tumelamba Dume. Tena Bingo si ya Kawaida. Huyu napewa Wizara ya Nishati na madini. He has proved himself beyond reasonable doubt.

Mbatia: some sort of Huruma . . . . Kuna vichwa opposition zaidi ya Mbatia.

Janet Mbene: Same reason aliyomteua last time pamoja na Jussa.

Ila ni mtaalamu wa Finance ila sijui kama anaweza kuwa Waziri, labda naibu. But all in all ni Mwanadada Mwanaharakati. sijawahi kusikia ufisadi wake wala chembe.

Watakuwaje mawaziri kabla ya kuapishwa kuwa wabunge?? Au sheria zimebadilika, maana siku hizi CC-CCM inatoa ruksa ya kuvunja baraza la mawaziri!!!

Atasubiri Bunge la juni?? au anamtosa Pinda hivyo anajua litaitishwa bunge la dharura ili kumpigia kura Waziri Mkuu mpya???

Utendaji wa JK .....Full maswali
 
confirmed..kanipigia simu mwenyewe..mbatia ni mbunge..hehe..ameniambia nisubiri na mimi kesho..
 
Thanks Invisible:

Sospeter Muhongo: Tumelamba Dume. Tena Bingo si ya Kawaida. Huyu anapewa Wizara ya Nishati na madini. He has proved himself beyond reasonable doubt.

Mbatia: some sort of Huruma . . . . Kuna vichwa opposition zaidi ya Mbatia.

Janet Mbene: Same reason aliyomteua last time pamoja na Jussa.

Ila ni mtaalamu wa Finance ila sijui kama anaweza kuwa Waziri, labda naibu. But all in all ni Mwanadada Mwanaharakati. sijawahi kusikia ufisadi wake wala chembe.

Wanaweza kuwa mawaziri kabla ya kuapishwa kuwa wabunge?
 
Back
Top Bottom