Kikwete awateua Prof. Sospeter Muhongo, Janet Mbene na James Mbatia kuwa wabunge

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amefanya uteuzi wa wabunge watatu wapya kwa mujibu wa mamlaka ya uteuzi aliyo nayo chini ya Ibara ya 66(i) (e) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Wabunge hao wapya ni Profesa Sospeter Muhongo, Bi. Janet Mbene na Bwana James Mbatia.

Uteuzi huo unaanza mara moja.


Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
Dar es Salaam.


3 Mei, 2012
 
Ngoja angalau hii habari niiamini, maana tetesi zimekuwa nyingi sana.
 
dah ... James Mbatia uso kwa uso na Kafulila bungeni .... haya bana
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Thanks Invisible:

Sospeter Muhongo: Tumelamba Dume. Tena Bingo si ya Kawaida. Huyu anapewa Wizara ya Nishati na madini. He has proved himself beyond reasonable doubt.

Mbatia: some sort of Huruma . . . . Kuna vichwa opposition zaidi ya Mbatia.

Janet Mbene: Same reason aliyomteua last time pamoja na Jussa.

Ila ni mtaalamu wa Finance ila sijui kama anaweza kuwa Waziri, labda naibu. But all in all ni Mwanadada Mwanaharakati. sijawahi kusikia ufisadi wake wala chembe.
 
hivi nyie mpaka leo hamjajua kuwa na mimi nitateuliwa kwa waziri???
 
James Mbatia? Dah! Haya bana JK. Rungu unalo litumie utakavyo.
 
Back
Top Bottom