Tony Gwanco
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 5,913
- 1,209
Kama uko pale pale kwanini tume ya uchaguzi haijatoa ratiba rasimi.
ratiba mtapewa ili mshindwe vizuri kama kawaida yenu
Kama uko pale pale kwanini tume ya uchaguzi haijatoa ratiba rasimi.
aseme pia kuhusu kura za maoni ya katiba maana alisema ni jana ilibidi zifanyike, na wenzake hao hao wakampinga sasa aseme na hilo
Yaan cjui nitakumbuka lipi jema kwa Serikali ya Awamu ya Nne.. Maana watu wamejipigia Serikalini tangu EPA mpaka Escrow.
Aondoke tu na Mungu ampe maisha marefu ashuhudie UKAWA wanaipaishaje Tanzania.
Jakaya Kikwete alitakiwa kuzungumzia sakata la mashirika ya hifadhi ya jamii kupitsha sheria kandamizi dhidi ya maslahi mapana ya wafanyakazi mambo ya uchaguzi wapi na wapi.
Yeye profession yake ni uchumi lakini juzi alisema anataka akistaafu awe muhifadhi wanyamapori! Naombea Mungu anipe maisha japo niweze kusoma hata makala yake gazetini maana naona kazi ya kutunga kitabu isiwezekane!Ondoka mzee kalime mzee sijui umekula maharage ya wapi
sio lazima wewe na baba yako mmkumbuke
Amesema anawashangaa wazee waliokua wanaongea jana kwenye TV kwamba serikali inampango wa kuairisha uchaguzi, Kasema ni aibu kwa watu wazima kudanganya na hajui wanaokoteza wapi hayo maneno.
Na mimi binafsi namshangaa Kikwete ni mzee muongo! Alisema kura ya maoni ya Katiba pendekezwa ni Aprili 30, amedanganya.
Alikubaliana na hao hao wazee anaowaita waongo kupitia kituo cha demokrasia(TDC) kuwa kura ya maoni isubiri hadi 2016, akadanganya akatangaza kuwa itakuwa Aprili 30, 2015! Ni muongo.
Jk alisema majangili na majambazi wanawajua, hadi leo kadanganya hajawachukulia hatua.
Alisema Tume ya Warioba ilifanya kazi nzuri ya kukusanya maoni ya watu na kuandaa rasimu ya Katiba, kumbz anadanganya! Baadae aliigeuka!!
mbowe alipata zero na ndio think tank ya ukawa unategemea nn
ratiba mtapewa ili mshindwe vizuri kama kawaida yenu
hawezi kushinikizwa na chagadema na ukawa
sio lazima wewe na baba yako mmkumbuke
we ulikuwa unaanglia na kusikiliza kupitia nn viroba ni sumu
Hata sijui unachangia nini, nadhani hata wewe mwenyewe hujui.!
we ulikuwa unaanglia na kusikiliza kupitia nn viroba ni sumu
Hata sijui unachangia nini, nadhani hata wewe mwenyewe hujui.!