Elections 2010 Kikwete apendekezwa na CCM kugombea urais 2010

Duh! With this kind of Coverage ni Ngumu sana kushindana na hili Dude CCM, Hivi kuna chombo chochote cha Habari ambacho kiko affiliated na Upinzani kweli?
 
wao wapinzani walitarajia waimbiwe nini? kwamba wana mawazo ya mabadiliko? kwamba ni viongozi wazuri?

Wamealikwa na CCM, Wanalishwa na CCM, Wanalazwa na CCM, Wanalipwa posho ya Kuhudhuria na CCM na Hayo ndiyo Malipo yake. Watakuwa wanafiki wakija kusema kwamba Hizi ni Pesa cha wakati Wanazila, Wanazinywa, Wanazilala , Kifupi wanazitumbua pamoja nao sasa hv Dodoma
 
wao wapinzani walitarajia waimbiwe nini? kwamba wana mawazo ya mabadiliko? kwamba ni viongozi wazuri?

Wamealikwa na CCM, Wanalishwa na CCM, Wanalazwa na CCM, Wanalipwa posho ya Kuhudhuria na CCM na Hayo ndiyo Malipo yake. Watakuwa wanafiki wakija kusema kwamba Hizi ni Pesa chafu wakati Wanazila, Wanazinywa, Wanazilala , Kifupi wanazitumbua pamoja nao sasa hv Dodoma
 
Duh! Hivi Wapinzani bado wapo kwenye huu Mkuano maana naona Marlaw anapiga Nyundo duh
 
Ningependa CCM ipate 100% Katika Uchaguzi wa Mwaka huu! Niko Serious Na Niko Tayari Kuomba kwa ajili ya Jambo hili
 
Inaendelea leo, ndo wanapiga kura za NDIYO kwa JK leo maana hakupata mpinzani ndani ya CCM, swali ni JE, JK atakosa kura?
 
leo ndo wanapiga kura za NDIYO kwa JK leo maana hakupata mpinzani ndani ya CCM, swali ni JE, JK atakosa kura?
Mkuu Inv, kwanza asante kwa thread hii, pili hilo ulilouliza sio swali, hilo ni jibu tuu, umetumia jibu kupata swali, kama hata mpinzani ndani ya CCM kakosa, hizo kura akose vipi?.

Namsikiliza Kingunge kwa makini sana, hapa ndipo kwenye politiking at its best, anajaribu kuitumia hypnotic powers zake kuwa brain wash wajumbe wa mkutano huo na Watanzania kwa ujumla kupitia ITV na Star TV, kuwa CCM is the one and only best choice for prosperous Tanzania, till 2025.

Hapa ndipo kazi haswa ya ideology inawekwa into practise, from peoples minds through sweet words into maltitude brains na ikisha register, October 31 ni ushindi wa tsunami!.
 
Na sasa MarLaw ndani ya nyumba, kaazi kwelikweli.

Ni mbinu ya CCM, kuwatumia wasanii wenye mvuto kwenye jamii, hasa wale wenye nyimbo zinazopagawisha watu kwa wakati huo. Ni usanii mtupu, sasa naye Kahama anaongea!!!!
 
Inaendelea leo, ndo wanapiga kura za NDIYO kwa JK leo maana hakupata mpinzani ndani ya CCM, swali ni JE, JK atakosa kura?
Invisible;

Strategy iliyowekwa katika kupiga kura ni dhahiri kuwa lazima apate za ndiyo. kwanza kila mkoa unapiga kura zake kwenye visanduku. mbili kura hizi ni open na si siri, kwani watu wamekaa karibu karibu kiasi kwamba si siri tena, ukipiga hapana watakujua tu na hili linawatisha wengi wanaotaka kupiga hapana wataogopa. yaani hapa ni kura za NDIYO kwa 99.9%
 
Kinachosubiriwa kwa hanu leo ni Mgombea Mwenza wa JK.

Mkuu count me kati ya hawa

1. Dr Ghalib Bilal

2. Dr. Amani Karume

3. Dr. Hussein Mwinyi

Japo kila nikiangalia karata yangu inamuangukia Bilal, na sababu hasa ni kuleta mshikamano Zanzibar kwani kambi ya Bilal ni tishia sana. JK nafikiri ataona kuwa kwa kipindi cha miaka mitano kuwa na Bilal si big deal.
 
Sikujua kama dokii ni mwimabaji mzuri hivyo. Ila navyomwona jakaya lazima aombe namba hapo maana mtoto si mchezo

alikuwa anamkata jicho ile mbaya, huku akitikisa kichwa.

toto mashalaah
 
Back
Top Bottom