Elections 2010 Kikwete apendekezwa na CCM kugombea urais 2010

Hivi shughuli inayofanyika dodoma ni ya kitaifa?? au ya kichama?? Kama ni ya kichama TBC1, Star TV na RObot wamenunuliwa na CCM?
Naomba mwongozo
Hivi unataka tukae kimya as if hatujui kuna kitu kinaendelea? Nadhani tukubaliane kuwa there's a power of information, ni vema kwa wasioona kinachoendelea Dodoma tuwafahamishe na ikitokea tuna-report mkutano mwingine labda wa CUF au CHADEMA tutafanya yaleyale; haijalishi vyombo vingine vionyeshe au visionyeshe.

Hivi TBC1 watatangaza mkutano wa CHADEMA?
Naamini watafanya hivyo kwa vyama vyote; na naamini (huenda si sahihi) CCM watakuwa wamelipia gharama za kurusha kipindi hicho live kwa TV zinazoonyesha mida hii. Swali ni JE, vyama vingine vitataka kila kitu kiende public?
 
hii ligha ya kuwaita vyama pinzani mavuvuzela ilhali nao ni moja ya wageni waalikwa imekaaje waheshimiwa? naomba msaada
Kilichowapeleka huko ni nini? Mbona vikao vyao CCM huwa hawaendi?

Sawa kabisa. Safi sana!
 
hii ligha ya kuwaita vyama pinzani mavuvuzela ilhali nao ni moja ya wageni waalikwa imekaaje waheshimiwa? naomba msaada
Mkuu Lady N,

Hapo ndipo nilipokasirika SANA na kusema TUJALI MASLAHI YA NCHI na tuache ushabiki wa kipumbavu ambao uko waziwazi. Huwezi kudai vyama vya upinzani ni mavuvuzela ilhali umewaalika; ni ukosefu wa busara mkubwa kwa viongozi wa CCM na kwa hili wanatakiwa kuwaomba radhi.

Inaudhi sana; kama siasa ni matusi namna hii basi mimi sitarajii kushiriki siasa za namna hii! Nchi inaangamia kwa mfumuko wa bei watu wanakaa kuitana mavuvuzela...
 
Yaani kuna hawa vijana wa vyuo vikuu....mmh....si mchezo!Vijana hawa wanaona CCM poa...hii nayo kweli...
 
Mkuu,

HAKUNA!

Mimi hapa nacheka tu kuwaona kina Maina Owino wakijigamba kuwa ni CCM in Diaspora na huku wakijigamba na mambo ya Dual Citizenship. This' boring for sure. Hivi Diaspora inamaanisha UK na US peke yake? Unaweza kutukana bure...

Kiujumla wajumbe wamepoa SANA kuliko nilivyotarajia.

SASA mkutano ndio unazinduliwa rasmi, anaongea Makamba na anataka kumkaribisha JK... Subirini madongo!

Jaribu uone...utukane!...wewe, haturuhusu hapa...
 
Maina Owino bwana...ha ha ha...anaangaika kweli kweli...ila ndo zake toka enzi zake UDSM....alikuwa DARUSO huyo...!Watu kwenye DIASPORA wanataka kurudi kuwa wanasiasa tu...hakuna kitu kipya...

Hawa Albino inakuwaje?Mwenyekiti aliyeongea ni wa-chama cha ma-albino wana-CCM ama?
 
Mkuu Lady N,

Hapo ndipo nilipokasirika SANA na kusema TUJALI MASLAHI YA NCHI na tuache ushabiki wa kipumbavu ambao uko waziwazi. Huwezi kudai vyama vya upinzani ni mavuvuzela ilhali umewaalika; ni ukosefu wa busara mkubwa kwa viongozi wa CCM na kwa hili wanatakiwa kuwaomba radhi.

Inaudhi sana; kama siasa ni matusi namna hii basi mimi sitarajii kushiriki siasa za namna hii! Nchi inaangamia kwa mfumuko wa bei watu wanakaa kuitana mavuvuzela...

Invisible kama kweli umekerwa na kauli ya yule mwanafunzi wa UDOM, naomba umtafute binafsi na umueleze kuwa hakufanya uungwana kumuita Lipumba et al kuwa ni mavuvuzela, huku akijua kwamba hao wapo humo humo mkutanoni na wana umri mkubwa pengine kuliko hata baba ya hako kakijana ka UDOM. Halafu kuonyesha asivyo serious, hata programme anayosomea hapo UDOM haijui vizuri, kwani alisema kwanza anasomea shahada ya uchumi, halafu baadaye akasema shahada ya sayansi ya siasa!
 
Mkuu Lady N,

Hapo ndipo nilipokasirika SANA na kusema TUJALI MASLAHI YA NCHI na tuache ushabiki wa kipumbavu ambao uko waziwazi. Huwezi kudai vyama vya upinzani ni mavuvuzela ilhali umewaalika; ni ukosefu wa busara mkubwa kwa viongozi wa CCM na kwa hili wanatakiwa kuwaomba radhi.

Inaudhi sana; kama siasa ni matusi namna hii basi mimi sitarajii kushiriki siasa za namna hii! Nchi inaangamia kwa mfumuko wa bei watu wanakaa kuitana mavuvuzela...

Sasa kwani walilazimishwa kuja hapo?

Kwenye siasa unahitaji ngozi ngumu mkuu! Sasa hawa mafala sijui wameenda hapo kufanya nini? Wewe umeshaona Obama anahudhuria mikutano ya Republican kwa madai kuwa kakaribishwa? Mimi hata nashindwa kuelewa wamekaribishwa kufanya nini! Huu ni mkutano wa CCM na hivyo CCM ina haki ya kufanya itakavyo!

Wapinzani wakiamua wanaweza kutumia hizo kashfa za CCM kuonyesha ujinga wa CCM.
 
Mkuu Lady N,

Hapo ndipo nilipokasirika SANA na kusema TUJALI MASLAHI YA NCHI na tuache ushabiki wa kipumbavu ambao uko waziwazi. Huwezi kudai vyama vya upinzani ni mavuvuzela ilhali umewaalika; ni ukosefu wa busara mkubwa kwa viongozi wa CCM na kwa hili wanatakiwa kuwaomba radhi.

Inaudhi sana; kama siasa ni matusi namna hii basi mimi sitarajii kushiriki siasa za namna hii! Nchi inaangamia kwa mfumuko wa bei watu wanakaa kuitana mavuvuzela...
wanapaswa kuomba radhi kabisa, lilianzia mjengoni, waungwana hajwaalikemea na sasa linazidi kushika kasi, hatari hiyo.
 
wanapaswa kuomba radhi kabisa, lilianzia mjengoni, waungwana hajwaalikemea na sasa linazidi kushika kasi, hatari hiyo.
Mchezo huu (wa matusi ya wazi) ulianzia Bungeni kweli... Wabunge wengi wa CCM ambao wana wasiwasi wa nafasi zao kupotea basi wanawaona wenzao (wa CCM pia!) kuwa maadui wakubwa na kuwaita MAVUVUZELA... Spika nae naona ameendekeza kejeli hizi ambazo si za kufumbia macho
 
Na mgombea mwenza wa JK ni Karume? Vuai? au mwanamke kama wanavyovuvuzela?
 
Na mgombea mwenza wa JK ni Karume? Vuai? au mwanamke kama wanavyovuvuzela?
Sitashangaa akiwa Dr. Husein Mwinyi.

Hapa ni: huyu anamwaga ugali huyu anamwaga mboga. Then huko baadaye Hussein Mwinyi / Dr. Shein hawatamsahau Ridhiwani Kikwete. Naye akijaaliwa Balozi Ali Karume hatasahaulika kabla January Makamba hajapewa majukumu ya kitaifa.
 
Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!
Ahsantee.gif

Thank you for supporting JF! <---(click to support us)
Waliochangia 2010: <--- (click to read)
:coffee:
24/7 Email SUPPORT: support@jamiiforums.com

Mmesikia kilio cha INVISIBLE?
 
Mkuu Lady N,

Hapo ndipo nilipokasirika SANA na kusema TUJALI MASLAHI YA NCHI na tuache ushabiki wa kipumbavu ambao uko waziwazi. Huwezi kudai vyama vya upinzani ni mavuvuzela ilhali umewaalika; ni ukosefu wa busara mkubwa kwa viongozi wa CCM na kwa hili wanatakiwa kuwaomba radhi.

Inaudhi sana; kama siasa ni matusi namna hii basi mimi sitarajii kushiriki siasa za namna hii! Nchi inaangamia kwa mfumuko wa bei watu wanakaa kuitana mavuvuzela...

Nafikiri mwenyekiti alitakiwa kuwaomba radhi ukumbini wawakilishi wa vyama vya upinzani ili kuset stage kwa makasuku walio chini wanaojua kuwa kushambulia upinzani ndiyo kupata ushindi na kujikomba zaidi kwa viongozi wa juu CCM ili baadae wapatiwe posts.

Unapokuwa unaongoza nchi kazi yako kubwa ni kuwaunganisha wananchi na si kuwagawa, kwa hili CCM na kikwete wamonesha kukosa busara za kiuongozi na kwao inaonesha wazi kuwa wapinzani si lolote na hawawezi kuwafanya kitu. Kuwaalika kwao ilikuwa ni kuonesha tu kuwa wao wanajali na wangefurahi sana kama wapinzani wangekataa mwaliko.

Hapa kweli JK amekosea, akirudi cha kwanza ni kuset stage kwa kuomba radhi wageni waalikwa kwa lugha iliyotumiwa haiendani na hadhira iliyopo kwao wao siasa ni namba mbili moja ni utu na utanzania. Asipofanya hivyo tusije sikia akilalamika kampeni zitakapoanza kwa kusema wapinzani wanatumia lugha chafu, na tume ya uchaguzi na Tendwa wayajue haya kuwa mwanzo mzuri huonekana asubuhi.
 
Sio siri mambo wanayofanya CCM wananikumbusha tena yule waziri wa habari wa serikali ya Saadam Hussein, siku moja kabla ya Baghdad kutekwa na Wamarekani. Alijitokeza hadharani akidai kuwa Saadam anakaribia kushinda vita! Kwa CCM hii, naona wanaanguka mapema zaidi ya nilivyokuwa nimekadiria. CHADEMA jiandaeni kuchukua nchi...
 
Siku CCM watakapogundua anguko lao, na watakapoona kuwa hakuna jisnsi ya kujisaidia kurudi kwenye line, wataanzisha hata vita ili mradi tu wasianguke.

Madudu waliyoyanfanya toka uhuru, na wanayoendelea kuyafanya hawatakubali mtu mwingine aje ayaone......

Subiri uone!!
 
The ccm drama keep unfolding! Unamyaluka mtu Kisha unamtukana!

Hivi vyama vyote vya upinzani vimehudhuria Ila ccj..... Au kwa kuwa hakina usajili?!
 
The ccm drama keep unfolding! Unamyaluka mtu Kisha unamtukana!

Hivi vyama vyote vya upinzani vimehudhuria Ila ccj..... Au kwa kuwa hakina usajili?!
Mkuu punguza spidi na hasira kidogo.Kweli CCM kiboko!! Watu wanajikwaa mpaka vidole lol!
 
Back
Top Bottom