Kitila Mkumbo
JF-Expert Member
- Feb 25, 2006
- 3,354
- 1,943
Jamani JK ankuja huko,naomba mumulize ivo serekali inaendeshwa na nani???.
This is simple, atakusomea katiba na mlolongo wa mawaziri-kwa maswali kama haya lazima JK awapige bao, jipangeni upya!