Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,890
- 6,900
Pale mtu unapoiangalia picha kwa tafsiri kifalsafa inasema mengi zaidi ya wale waoiangalia kwa kwa wepesi wa kuangalia rangi tu. Picha hii inasema mengi zaidi ya maneno.
Hivi ms'itu wa pande upo au wame-fyeka?
huyo ni mheshimiwa, dkt Jakaya Mrisho Alfani Kikwete, mtu safi, nnapita.
Hapana, hii picha imepigwa jana huko Lindi kwenye maadhimisho ya Siku ya Ukimwi DunianiHii picha inaonesha ni wakati wa mkutano mkuu wa CCM Dodoma November 2012....
Kwa hiyo tulimchagua atutengenezee barabara,hiyo ndio kazi ya rais? haahaahaaahaaaaaaaa
naam hili la barabara wacha ajenge tu,nampongeza huko kwingine hakunihusu
Kama midomo(lips) imeiva flan
Hapana Mdau,hii picha ilipigwa juzi katika uwanja wa Ilulu huko Lindi katika maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani.Kwa hiyo alifanya maandalizi ya kutosha kabisa.Ki ukweli,nimeipenda sana hii picha!Hii picha inaonesha ni wakati wa mkutano mkuu wa CCM Dodoma November 2012 ambapo wana-magamba walitishia kumngoa Mh. Mwenyekiti wa CCM taifa, hivyo ililazimu JK awe na kikosi-kazi pamoja na kamati ya ufundi (sikiliza hotuba ya Mzee Makamba) chake usiku kucha wanapanga mipango abaki madarakani.
Hivyo kulikuwa hakuna muda wa kujipiga sopu-sopu maana ni kama vitani unakurupuka na kunawa uso maji uone vizuri na kuendelea na mapambano.
Hakuna kitu ambacho wapiga picha wa rais Jakaya Kikwete hujitahidi kama kupiga picha zinazomuonyeshea uhalisia wake. Sasa muda na mikorogo vimeanza kuwaacha kiasi cha kujikuta hawana jinsi bali kutuletea Kikwete ambaye hatukumjua. Inapendeza sana. Hii inaonyesha ukweli kuwa wakati kweli ukuta ukifika unagota.
Sasa mkuu hapo kwenye redi itakuwa hata magogoni imekumbwa na lile balaa la vitu vya kichina nini?hii supa black itakuwa ya kichina haikolei...Hapana Mdau,hii picha ilipigwa juzi katika uwanja wa Ilulu huko Lindi katika maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani.Kwa hiyo alifanya maandalizi ya kutosha kabisa.Ki ukweli,nimeipenda sana hii picha!